It takes time to dethrone, China slowly but surely will dethrone US+Europe.
Tena kwenye teknolojia za software watafanya kwa haraka zaidi kuliko ata Hardwares. Si umeona tiktok ilivochukua mda mfupi kutake over?
Hakuna shule naichukia duniani kama hiyo.
Matapeli wezi wababaifu wezi.
Mabingwa wa kuhonga maafisa elimu na kupora walimu wazuri shule mbalimbali, kuiba majibu, kuhonga wasimamizi na kila aina ya uchafu wa elimu unaoujua
Kitu ambacho hamjui ni kuwa wanawake ni selfish by nature.
Mwanamme akipata hela atatamani aoe hata wanawake sita awatunze.
Mwanamke akipata hela atataka ajitegemee bila mwanamme.
Wanajiita independent women mwanamke wa shoka nk.
Kwahyo kwa manufaa mapana ya jamii wanawake hawatakiwi kuwa sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.