ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,753
- 42,234
- Thread starter
- #161
Who, me?Its like he or she is one of them
Who, me?Its like he or she is one of them
SawaMaisha ni vita Kati ya wema na ubaya. Hiyo ndio sababu mauaji hutokea.
Kumbe sawaTiss wanatreiniwa kuuwa kabisa ka
A wanachinja kuku
1. Kuingia mikataba ya siri, wizi wa ngawira/rasilimali za nchi, si ufilisi wa nchi?Ukifanya uhaini, ukaanza kuchoma mali za watu, kuiba mali za watu, kukata watu vidole
Wewe umevuka mipaka ya kuendelea kubaki hai unastahili kupigwa risasi na maiti yako ikatupwe mbali isionekane maana unakua ni laana hapa duniani.
SAWA.Kazi Yao ni Moja tu kuuwa tu bila kuuliza sababu.
We waone watu wanatembea hivi barabarani mnasalimiana mnacheka lkn ungewajua walivyo......!!