moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,368
- 776,013
La kiboya?Hili kombe la dunia lishakua la kiboya sana.
Kivipi mzee
La kiboya?Hili kombe la dunia lishakua la kiboya sana.
Hapana sijaona.Wewe tokea limeanza huoni tatizo lolote.
We ushazoea cum in your backSubirini cameback ya nguvu
Tokea mwanzo wewe hujaona tatizo lolote.La kiboya?
Kivipi mzee
Basi sawa.Hapana sijaona.
Hilo swali muulize baba akoWe ushazoea cum in your back
Matatizo yapo mengi lakini yote hayo ni sehemu ya mchezoTokea mwanzo wewe hujaona tatizo lolote.
Watu Spain wanaichukuia poa, ila wanatimu nzuri sana.Aisee messi anaweza chukua tena
Kwamba Kati ya Spain na France upi mfupa ngumu kwa Messi?Aisee messi anaweza chukua tena