Wahanga wanahitaji wapatiwe misaada ya kibinadam kama vyakula,madawa,makazi ya dharura,vyandarua etc.Hayo maneno anayoenda kuongea huko hayana tija wakati huu ambapo wahanga wana matatizo makubwa na ya msingi.
Hivi mkuu ni lini utaacha PUMBA?watu wanazungumzia maji yamejaa barabarani ndo maana wanashindwa kwenda makazini,wewe unasema waache kujenga mabondeni,hiyo akili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.