Recent content by MCHONGANISHI

  1. MCHONGANISHI

    Mfanyabiashara maarufu wa madini Arusha apandishwa kizimbani kwa mauaji

    Pendaa tena? Huyu mwaka juzi alilipwa na Exim pesa nyingi mno baada ya kuwashinda kesi ya madai akanunua bar ya seven up na kujenga ghorofa! Asee
  2. MCHONGANISHI

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Ally Rufunga? Si alishatangulia mbele ya haki! Au Ally Rufunga yupi?
  3. MCHONGANISHI

    Naombeni ushauri juu ya suala hili la mafao yangu

    Miezi saba tu? Kuna mwanangu mmoja anadai toka 2020, na huwa anaenda almost kila week ofisini kwao ila hola!
  4. MCHONGANISHI

    Hospitali ya rufaa ya Mout Meru Arusha haina parking

    Nilipeleka mgonjwa saa 10 alfajiri hao mgambo wa Suma JKT wnaniambia nimuache mgonjwa kwanza nikapaki gari barabarani ndo nirudi eti hapo hamna parking! Sijui wamekuwaje na parking yenyewe mchana hamna nafasi ni stand ya taxi na Bajaj, bora basi hata kungekuwa na parking maalum
  5. MCHONGANISHI

    Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

    Mechi inyofuata ni kati ya PlatinumFC ya Zimbabwe na Cost du Sol ya Msumbiji.... Walicheza jana matokeo ni CDS 1 Platinum 2
  6. MCHONGANISHI

    Mjue Vickie Makani (Mrs. Bob Makani) aliyehitimu shahada akiwa na miaka 74

    Anaitwa Mohamed Makani kama baba yake almaarufu Medi ila huyu ni mtoto kwa mdogo yule mdogo wake na Mtei
  7. MCHONGANISHI

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Mikataba ya Toyota na serikali inajumlisha na service ya gari kuanzia miaka tano hizo gari Toyota wanazifanyia service
  8. MCHONGANISHI

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Serikali ana mkataba wa kununua gari za Toyota.... Ni terms ambazo huziwezi vunja nafkiri Wizara ya Ulinzi, mambo ya ndani na Ikulu wananunua aina zingine..... Ukikuta gari la halmashauri /serikali siyo Toyota ni la msaada ila hii haihusishi magari ya kazi kama lorries, nk
  9. MCHONGANISHI

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Sheria ya manunuzi ya umma hairuhusu serikali kununua vitu used hyo V8 ni brand new 0km
  10. MCHONGANISHI

    Taifa Stars ya Jana wangepangwa Wachezaji wengi ya Yanga SC tungefungwa hata Goli / Bao 15 Hongera Kocha

    Watu wanaisifia Simba lakini kiukweli anaestahili Kongole ni Azam Fc katika timu iliyoanza Tunisia ni wachezaji wawili tu! Mkude na Mwamnyeto ndo hawajapitia Azam waliobaki wote wamepitia Azam
  11. MCHONGANISHI

    Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

    Ok pole kwake! Sio kama nafurahia ila "what goes around comes around" and karma is a bitch huyu producer katumia umaarufu wake kaumiza saana! Maunderground wengi sana! Analipwa pesa ila hawapi kazi zao anawazungusha zungusha tu! Nimesikia zaid ya maunderground wanne wakimlalamikia same issue afu...
  12. MCHONGANISHI

    Tumepanda ligi kuu, Njombe Mjii Oyeeeee....!!!

    Panone FC wameshuka daraja la pili, JKT Oljoro wamepanda daraja la kwanza.. AFC, Madini na Pepsi ya Karatu wako daraja la pili kinachokwamisha timu za ukanda huo no mipango mibovu na tamaa!
  13. MCHONGANISHI

    Nini kazi na matumizi ya karatasi aina ya Rizila

    Rizla inatumika kuvutia tumbaku, sonyo, sweet nuts, gozo nk nk
  14. MCHONGANISHI

    Hii ndio katuni bora ya mwaka toka DW kuhusu kinachoendelea nchini

    kwao wapi?? Gado ni Mtanzania na ana haki zote kama Mtanzania mwingine
  15. MCHONGANISHI

    Wanawake waliosoma Sheria (Law) ndio wanaoongoza kuwa 'single mothers' Tanzania

    Inaweza kuwa kweli nmehesabu classmates wangu LLB class of 2006 masingle mother ni wa kutosha
Back
Top Bottom