Producer S2KIZZY avamiwa kwenye studio yake

Niliangalia interview yao kuna demu anasema mwenzake aliingiziwa mkono kwenye papuchi. Na wanaume nao wanadai walivuliwa nguo na kupigwa na virungu uchi.

Aisee huu ni udhalilishaji uliopitiliza, hao jamaa wanastahili adhabu.
 
nimezoom sana video mbalimbali kutafuta mixer zilovunjwa computer nk sijaona
zaidi nimeona MIC CONDENSER ipo juu ya kochi sasa sijaelewa ni vyombo vipi vyote vilivovunjwa
pia nimefata hii ashtag #chersecurity
lkn hola
account yake pia ninaona giza tupu sasa akili yangu inawaza pengne ni amshaamsha ya kitu kipya kinakuja
mana nilitegemea zingetapakaa picha na video vyombo vya studio vikiwa vimevunjwavunjwa na hao walinzi shirikishi walovamia studion kwake na kufanya uharibifu na udharirishaji kwa wanawake

mkuu ukipata Picha zaidi au Video tupia tuone namna uharibifu wa mari ulivyofanyika ili tuweze tafsri ni tukio la namna gani
Mm nilikuwa nawaza ujinga km huu wako nkawa najifikirisha maujinga icje ikawa ni njama za sihasa (fissi emu) kututoa kwenye reli nikagundu n mikonyagi imenilewesha
 
Ok pole kwake! Sio kama nafurahia ila "what goes around comes around" and karma is a bitch huyu producer katumia umaarufu wake kaumiza saana! Maunderground wengi sana! Analipwa pesa ila hawapi kazi zao anawazungusha zungusha tu! Nimesikia zaid ya maunderground wanne wakimlalamikia same issue afu anawajibu mbovu
 
Ok pole kwake! Sio kama nafurahia ila "what goes around comes around" and karma is a bitch huyu producer katumia umaarufu wake kaumiza saana! Maunderground wengi sana! Analipwa pesa ila hawapi kazi zao anawazungusha zungusha tu! Nimesikia zaid ya maunderground wanne wakimlalamikia same issue afu anawajibu mbovu
Hatu katai Inawezekana kafanya hivyo,sasa mpaka kufikia hatua ya kwapiga wasichana waliokuwa studio bado haitoshi,una ingiza videlo,wengine mkono kwenye uke wa mwanamke,wakati huyo binti hana kosa hajakufanya chochote.
 
Swali kwa kamanda Mambosasa

Ni mvamizi gani anapeleka aliowavamia kituo cha polisi na kuwafungulia mashitaka?!

Hii inawezekana Bongo tu ya Viwanda
IMG_20201015_194709_642.JPG
 
Back
Top Bottom