Recent content by MCHINA2000

  1. M

    Finland hakuna mtihani kwa wanafunzi ambao hawajafikisha miaka 16, umri wa mtoto kuanza shule ni miaka 7 na sio chini ya hapo.

    SOMA HIYO NUMBER 13: https://schooladvisor.my/articles/15-amazing-facts-about-finlands-education-system/
  2. M

    Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

    wasiliana na apple...ninavyojua wanaweza kuifunga na hata kukueleza location ilipo pale itapowashwa na kuunganishwa na network tuuu. bila shaka unayo account ya icloud.
  3. M

    Utafiti: Kumekua na ongezeko kubwa la machinga katika jiji la mwanza

    Utafiti uliofanywa na shirika la I4ID pamoja na KIVULINI limegundua ongezeko kubwa sana la wamachinga katika jiji la Mwanza. Utafiti huo umebaini kua wamachinga wakukaa sehemu moja wamekua wengi kuliko wale wanaotembea. Aidha utafiti umeonyesha changamoto nyingi za wamachinga ikiwa ni pamoja...
  4. M

    Natafuta gari ya kukodisha

    Wakuu kwema. Nahitaji gari ya kukodisha kuanzia tarehe 03 hadi 07 June 2019. Gari iwe na uwezo wa kubeba watu sita. Mahali ni Dodoma. Najua baadhi yenu mnazo hizi gari. Njoo inbox tuongee.
  5. M

    Wadau hii hainifikishi mtoni (Marekani )

    Sidhani kama watakupa viza maana zabibu za safari yako hazina mashiko Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Nahitaji kufahamu kuhusu MBA ya chuo cha AMUCTA-Tabora

    ndugu yangu achana na hivi vyuo vya wasi wasi. ukitaka MBA ambayo niya uhakika nenda vyuo vya serikali tuuu . full stop
  7. M

    Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

    https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=10&ved=0ahUKEwjWyuj27I3XAhVERiYKHTOmCa4QFghuMAk&url=http%3A%2F%2Fwww.lrct.go.tz%2Fdownload%2Ftranslated-laws%2Fkiswahili-vision%2Fadhabu.pdf&usg=AOvVaw0kdERxc7BY1Q8pje6Wj5an
  8. M

    TUMERUDI PALE PALE HAKUNA MABADILIKO, BARRICK KIBOKO

    Barrick to Give Tanzania Mines Stake, $300 Million to End Dispute
  9. M

    Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    Religion in Israel is a central feature of the country and plays a major role in shaping Israeli culture and lifestyle, and religion has played a central role in Israel's history.[citation needed] Israel is also the only country in the world where a majority of citizens are Jewish. According to...
  10. M

    Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA TAARIFA KWA UMMA VYUO NA PROGRAMU ZILIVYOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18 1.0 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kuuarifu umma kuwa, mwezi Septemba na Oktoba mwaka 2016 ilifanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu...
Back
Top Bottom