MCHINA2000
Member
- Aug 27, 2016
- 28
- 26
Wakuu kwema. Nahitaji gari ya kukodisha kuanzia tarehe 03 hadi 07 June 2019. Gari iwe na uwezo wa kubeba watu sita. Mahali ni Dodoma. Najua baadhi yenu mnazo hizi gari. Njoo inbox tuongee.