Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

Religion in Israel is a central feature of the country and plays a major role in shaping Israeli culture and lifestyle, and religion has played a central role in Israel's history.[citation needed] Israel is also the only country in the world where a majority of citizens are Jewish. According to the Israel Central Bureau of Statistics, the population in 2011 was 75.4% Jewish, 20.6% Arab, and 4.1% minority groups.[2] The religious affiliation of the Israeli population[vague] as of 2011 was 75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% belonging to minor faiths such as Samaritanism, Baha'iism or no religion.[3][4]
 
Huu ndio ukweli mchungu
 
Huwa najiuliza uteule wa wayahudi!
Kumbe huhitaji kuwa mkristo ili uwe mteule
AU JE MUNGU NI WA UPENDELEO, watu wengine wakimuasi wanaitwa wadhambi, wengine wakiasi wanaitwa wateule?

Uteule wa Waisrael uko damuni .. Mungu wa Israel ndiye Mungu mwenye nguvu na uweza mkubwa zaidi ya miungu wengine.

Wale ambao sio Waisrael wanafanyika kuwa wana wa Mungu pale tu wanapoukubali Ukristo, lakini kwa Wayahudi uteule uko damuni.

Mungu ibariki Israel - Mungu nibariki mimi
 
Huwa najiuliza uteule wa wayahudi!
Kumbe huhitaji kuwa mkristo ili uwe mteule
AU JE MUNGU NI WA UPENDELEO, watu wengine wakimuasi wanaitwa wadhambi, wengine wakiasi wanaitwa wateule?

Waisraeli wanafuata dini yakiyahudi , una zaliwa nayo .hawatafuti wafuasi. Ni dini ya asili ya waisrael.
Hata huku Africa watu wana walikuwa na dini za asili.
 
Pamoja na kwamba ancient Israeli sio modern Israel lakini kanisa kongwe zaidi lilianzia Ethiopia na Yesu alianza kuabudiwa kama mwokozi Ethiopia (Ethiopian Orthodox Tewahedo Church - Wikipedia)

Japo wengi kutokana na elimu finyu wanadhani ukristo Ulianza ulaya.
Hii habari umeelewa vizuri?Au lugha ya malikia inakupiga chenga.Habari inajieleza,hili kanisa la Ethiopia,lilikuwa ni tawi la kanisa,liliokuwa Ulaya.Kwa hiyo tawi,ni dogo,na baadaye ndio wakapewa uhuru wa kujiamulia mambo yao,ya kikanisa hapo Ethiopia.
 
Back
Top Bottom