Wadau hii hainifikishi mtoni (Marekani )

Wadau hii hainifikishi mtoni (Marekani )

1153×2=TOTAL NAULI hapo bado michakato ya visa nk...hiyo haitoshi...ila usitumie mkato Kuna jela meen
Screenshot_20180902-165544.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamiiforums haijawahi kushindwa..
Nimepata mambo mengi sana ambayo yananifikirisha kupitia huu Uzi,nimegundua changamoto ipo kwenye vibali vya kwenda lakini nimehamasika sana NAWEZA KWENDA,sio kama hapa bongo nina hali mbaya sana kimaisha hapana,maisha yangu ni ya kawaida kama ambavyo vijana wengine wa kitanzania wanayo,nataka kwenda kusafisha macho hapa naomba mnielewe naenda kuondoa tongotongo huku nikiangalia uwezekano wa kufanya maisha,kwani marekani si kuna watu masikini???siwezi kuanzia hapo??..napata ujasiri nikikumbuka miaka kadhaa nyuma nilipotoka mbeya,mbozi na kuja dar kwa treni huku nikiwa sina ndugu,sina uhakika wa kazi,wala pa kufikia,nataka niende na hela chache hizi nilizo nazo ili zikiniishia nipate akili ya kutafuta,nashukuruni sana wadau mliochangia huu Uzi na mliokuja pm kunipa moyo,MUNGU ni wetu site!
 
Dogoo
Acha mawazo ya kuzamia US. Kama hujui nchi mbaya za kuzamia moja wapo ni US. Hapa zamiki kirahisi hivyo. Na kama unataka kwend kule masharti ni kama ifuatavyo:
1. Invitation letter kutoka kule na iwe ni ya kampuni kubwa/shirika kubwa/ au kikundi kikubwa.
2. Uwe na tikiti ya return ambayo ni valid.
3. Uwe na akiba yako ya bank siyo chini ya 10m. Inaitwa Bank Balance.
4. Uwahakikishie kuwa una mahali salama pa kushukia. na zaidi ya yote, ukijue kingereza.
Namna ya kando kando.
Pitia Bahamas au Barbados. Utue kule kwa muda kidogo ndo utokee huko. Uwaambie unaingia na kutoka. Pia waweza kupitia huko Spain au France. Huko ukitokea any UAE country hawanaga shida sana na wewe. Tafuta njia ya kuingia Canada uingie US kwa miguu tu na kuzamia. Ila usidhani utaingilia uwanja wa ndege halafu uzamie. Utashangaa wanakuokota ka kuku anayeatamia mayai
 
Mil 7 shilingi mkuu..!!nilienda pale airport kuuliza uliza jamaa wameniambia huwa wanakata go and return halafu na mambo kibaaaaaoo..
Tiketi tafuta online Google /flights, sio airport, mambo ya visa pia online ubalozi wao Tz. Tshs milioni saba ni kama dola elfu mbili mia kadhaa. Tiketi inaweza gharimu mpaka dola elfu mia tano(ya kwenda na kurudi). Je una mwenyeji wa pa kufikia? Ubalozini watataka kujua hilo na pia kiasi cha pesa cha kujikimu ulichonacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogoo
Acha mawazo ya kuzamia US. Kama hujui nchi mbaya za kuzamia moja wapo ni US. Hapa zamiki kirahisi hivyo. Na kama unataka kwend kule masharti ni kama ifuatavyo:
1. Invitation letter kutoka kule na iwe ni ya kampuni kubwa/shirika kubwa/ au kikundi kikubwa.
2. Uwe na tikiti ya return ambayo ni valid.
3. Uwe na akiba yako ya bank siyo chini ya 10m. Inaitwa Bank Balance.
4. Uwahakikishie kuwa una mahali salama pa kushukia. na zaidi ya yote, ukijue kingereza.
Namna ya kando kando.
Pitia Bahamas au Barbados. Utue kule kwa muda kidogo ndo utokee huko. Uwaambie unaingia na kutoka. Pia waweza kupitia huko Spain au France. Huko ukitokea any UAE country hawanaga shida sana na wewe. Tafuta njia ya kuingia Canada uingie US kwa miguu tu na kuzamia. Ila usidhani utaingilia uwanja wa ndege halafu uzamie. Utashangaa wanakuokota ka kuku anayeatamia mayai
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora umetuelezea Vizur na sie wengine wenye mawazo kama ya mtoa mada tujue
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora umetuelezea Vizur na sie wengine wenye mawazo kama ya mtoa mada tujue

Sikufundishi kutoroka nchi. Bora hapa kwako waweza kutetewa na vyama vya siasa kuliko ugenini usiko na wa kukusaidia. Nakuambia huko US hutakaa umuone mtu wa kukupa msaada wa mkate uliooza ule. Hutapata mtu wa kukuajiri ufagie mavi ya mbwa wake kwa sababu mbwa wa huko hutunzwa kuliko mtoto. Kaeni hapa nyumbani nakuambia ni pazuri ajabu.
 
Mkuu umemaliza ila sikio la kufa...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahala sijaelewa vyema, umesema huendi kufanya mishe yoyote zaidi ya utalii na kutoa tongotongo ila hapo mwisho ukasema umeshachoka kuishi Africa, kwa tafsiri ya haraka haraka kama upo tayari hata kupitia njia ya magumashi basi maana yake huendi kutalii bali ni kutokomea na kutafuta mishe (just a commonsense) kwa hali hiyo mkuu jipange aiseeeeeee mbele sio kuzuri, si unaona ubwabwa wanavyoongezeka?! Life is not as easy as many think

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe kyule huyo
 
Back
Top Bottom