Recent content by Mchimbwi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Israel itafutwa kwenye ramani ya dunia

    Ila patachimbika!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

    Masuke inaonekana hulijui soka la bongo!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafssi za kazi game

    Nenda mwenyewe usipende mtelemko kijana, kaulize pale pale!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

    Ngoja tuone maajabu ya musa!! Mwaka huu kwa kiiza!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    dah!!amakweli ya ngoswe mwachie ngoswe,tunalipeleka Wap taiga hili tukufu???
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    dah!umenena ukweli mtupu ndugu yangu!ila umesaidia xana kuwapanua mawazo vijana wanaohtimu vyuo vikuu kwa hapa tanzania!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za CCM Kuogopa Katiba Mpya Hizi Hapa

    Kivip!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za CCM Kuogopa Katiba Mpya Hizi Hapa

    Kidogo hoja imenikuna!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyogeuzwa danguro la bangi huko tabata yafichuliwa , vibaka na makahaba wala kibano

    Hapo ndo tujiulize mpango wa serikali kwa vijana ni upi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyogeuzwa danguro la bangi huko tabata yafichuliwa , vibaka na makahaba wala kibano

    Hapo ndo tujiulize mpango wa serikali kwa vijana ni upi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Justi bieber ni noma, hivi ndo alivyoamua kulifanya gari lake. Cheki hapa

    Kiukweli ni kwamba jamaa wako juu,na huu ndo wakati wake wa kuenjoy.
  12. M

    JamiiForums Tanzania post za jeshi 2013

    xafi maana hawezi ingia jeshin mpaka apitie jkt,kwani siku hizi mfumo wa kuajiri umebadilika jwtz wanaajiri vijana kutoka jkt tu labda uwe professional.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kunani wizara ya afya na ustawi wa jamii...!!??

    Hii ni ajabu kweli kweli kwa nchi inayotafuta wataalamu katika kada mbalimbali!!hebu angalia maajabu ya badhi ya wizara zetu hapa nchini,zinatangaza nafasi za kujiunga na masomo katika madaraja tofautitofauti lakini wanaweka vikwazo na huku wakijua vijana wengi wanazihitaji nafasi hizo kwa muda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania wizara ya futa ajira mpya za walimu 2013

    Yanini malumbano,fanyeni hivyo check out all of the web sites.
Back
Top Bottom