wizara ya futa ajira mpya za walimu 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizara ya futa ajira mpya za walimu 2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Clara, Feb 22, 2013.

 1. B

  Baba Clara Member

  #1
  Feb 22, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majina yaliyokuwa yamewekwa kwa awamu ya pili na wizara yote yametolewa bila notification yoyote, hivyo nakushauri check jina lako upya.
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wizara ipi???????? Una maana ya ajira mpya za waalimu???????????
   
 3. Mr. Samson

  Mr. Samson Member

  #3
  Feb 22, 2013
  Joined: Feb 16, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali haina ubavu wa kufuta ajira za walimu; ila wananchi wanaoubavu wa kuiondoa serikali madarakani wakati wowote wakiamua!Dogo uliyepost hiyo yawezekana hujajua kuwa Wizara inawatumikia wananchi na si kuwatawala itakavyo! Hizo ajira si ruzuku ni haki yao waliozipata.
   
 4. M CM

  M CM JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2013
  Joined: Nov 25, 2012
  Messages: 1,953
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Mbona unadanga watu mkuu maana walimu wapya tayari majina yao yamefika kwenye halmashauri za wilaya tayari kwa kupangiwa vituo vya kazi :nono:
   
 5. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2013
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Toa taarifa vizuri.
   
 6. B

  Baba Clara Member

  #6
  Feb 22, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usiwe mbishi angalia jina lako kama utaliona wamebakiza yale ya awali mengine yote yametolewa
   
 7. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2013
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  baba clara! Ukilikosa jina Moevt, nenda web ya utumishi,ukilikosa utumishi nenda web ya local government! Kote huko majina yapo!
   
 8. M

  Mwambopo Member

  #8
  Feb 22, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duuu unauhakika mkuu?
   
 9. M

  Mchimbwi Member

  #9
  Feb 23, 2013
  Joined: Jan 6, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yanini malumbano,fanyeni hivyo check out all of the web sites.
   
 10. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2013
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ndio walimu wetu walivyo hivyo mkuu!
   
 11. KATUMBACHAKO

  KATUMBACHAKO JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2013
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Langu halipo MoEVT! Nifanye,wakati mara ya kwanza lilikuwepo? Shahada/Mathematics
   
 12. Boniphace17

  Boniphace17 Senior Member

  #12
  Feb 28, 2013
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  we bwa mdogo, acha kukurupuka, taarifa itolewayo kwenye website haikuhusu ila iwekwayo.
  Hujapewa taarifa yoyote kelele za nini?
   
Loading...