Labda USA ifutike ndio muanze conversation ya kufutika Israel, hayo mengine ni hadithi tuu.
Unajua Marekani ilifutika baada ya CIVIL WAR na States below the MASON-DICKSON line kutii amri na kuwa Marekani mpya? Soma historia yako.
Lakini hivi kweli wewe ulisoma bandiko langu in its entirety? Naomba ulisome lote halafu urespond. Nasema hivi kwa sababu response yako inaonekana out of context.