Recent content by mchengusugu

  1. mchengusugu

    Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    Hatari sana asee sasa hapo direct cost inahitajika af huna hata pakuipata
  2. mchengusugu

    Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    Gape ya form 4 nlipika maandaz gape ya form 6 nlikua bek 3
  3. mchengusugu

    Saanane kaishia wap

    Habari sana fikra pevu,,natumai mi wazima wa afya,hiv jaman nauliza tu huyu Ben sanane bado hajapatkana na vip hamna taarifa yoyote?
  4. mchengusugu

    Wanaume hawa wa JF wananichefuaga sana!

    Af wanaume humu ndani mjifunze unaweza jikuta una m pm mtu kumbe njemba mwenzako sio kila aneitwa Adela jf ni mwanamke katika maisha halisi
  5. mchengusugu

    Tuweke U-CCM na U-CHADEMA pembeni kwenye hili la Lema

    Ifike wakat sasa vijana tuache ushabiki mpofu kwa chama,,yan kwa kuwa ni chama chako bas hata kikikosea huwez kosoa ifike mahala tuwe na uweze wa kupambanua mashudu na pamba sio kila kitu cha kulaumu na si kila watendewacho wapinzani ni uonevu mbna wanashinda kesi nyingi tu lakin hatusikii Ccm...
  6. mchengusugu

    Ukitongozwa unakataa, kwanini uombe kukutana, unachunguza nini?

    We utakubalije bila kumchunguza mtu akiuziwa mbuz kwe gunia je hizo ndo taratibu zenyew kama hutaki tukutane Haya baki na ela yako na umenikosa
  7. mchengusugu

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Na huyo alipiga askari na kukata uzio uliowekwa na halmashauri kupitia askar akapita kwa nguv af akiambiwa matus juu Daah huyu mtu acha sheria imtafune
  8. mchengusugu

    Kashfa: Tigopesa wanadhulumu hela za wateja?

    Ila tigo jaman wamezidi sana makato makubwa mnoo had kero
  9. mchengusugu

    Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Ila huyu mshkaji jaman acheni tu ajifunze adabu na lugha nzuri tatizo kuna watu wanafikiri wakiwa viongoz bas wanakanyaga kila mahali that's bulshit
  10. mchengusugu

    Naibu waziri wa elimu ataja mshahara wake anaolipwa na mambo mengine

    Huyu mwanamama asituone ssi maamuma hawez lipwa 3.4 af gari m 130 shabaash 
  11. mchengusugu

    David Kafulila: Kwa style ya Rais Magufuli atamaliza miaka 5 na watu aliowatumbua tu

    Yan hii Tanzania nilikuaga nawaza atokee dikteta mwenye akil na mawazo yakinifu nchi itakua na maendeleo makubwa lakin huu udikteta uchwara na mawazo mgando bado tutasota sana asee
  12. mchengusugu

    Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Ila jaman nyie watu ni wagum kuelewa sasa hapa mambo ya YESU je ccm na chedema cjui yamekujaje mm na shangazwa[emoji17]
  13. mchengusugu

    Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

    Yan mm nashangaa sana mijitu ambayo bado inamtetea mh rais kwamba anafanya vizuri kiuchumi [emoji14] [emoji14] hvi wafanyakaz ile kodi ya single digit vipi,,,hali ni mbaya sana kiuchumi yan haijawah tokea tangu kuumbwa kwa Tanzania af mijitu bado mnatetea ujinga
  14. mchengusugu

    Kinana: Hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza Maalim Seif Rais

    Hahaha kumbe wanakubali kuwa huyo ndo mshindi ila wa kumtangaza ndo hamna daah
  15. mchengusugu

    Wanaume wanaovaa Saa za mkononi huwa hazisomi majira

    Daah hata mm ni hivo tu na sina dalili ya kuacha wala kununua saa mpya
Back
Top Bottom