Kinana: Hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza Maalim Seif Rais

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndg Abdulrahman Kinana amesema kwamba,hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza Maalim Seif Sharif Hamad Rais. Ameyasema hayo alipokuwa akizindua kampeni za uchaguzi Diwani huko Zanzibar.

Chanzo:Gazeti la MWANANCHI
 
Y͎o͎t͎e͎ s͎a͎w͎a͎, w͎a͎o͎ s͎i͎ n͎d͎i͎o͎ m͎i͎u͎n͎g͎u͎ w͎a͎t͎u͎ w͎a͎n͎a͎t͎u͎a͎m͎u͎l͎i͎a͎ n͎i͎n͎i͎ c͎h͎a͎ k͎u͎l͎a͎, k͎u͎o͎n͎g͎e͎a͎ i͎l͎a͎ h͎a͎y͎a͎ y͎o͎t͎e͎ y͎a͎n͎a͎ m͎w͎i͎s͎h͎o͎ w͎e͎n͎y͎e͎ m͎a͎f͎a͎n͎i͎k͎i͎o͎ h͎a͎s͎a͎ k͎w͎a͎ w͎a͎b͎u͎r͎u͎z͎w͎a͎j͎i͎ s͎i͎e͎.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndg Abdulrahman Kinana amesema kwamba,hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza Maalim Seif Sharif Hamad Rais. Ameyasema hayo alipokuwa akizindua kampeni za uchaguzi Diwani huko Zanzibar.

Chanzo:Gazeti la MWANANCHI
Njia ilibaki Zanzibar ni nguvu tu ya umma.....kikaratasi cha kura ccm wanasema wazi ni geresha tu lakini hawaondoki....hawaelewi lugha hiyo.
zanzibar wasome historia ya East Timor...kisiwa kidogo iliokaliwa kwa nguvu na Indonesia...walijitolea mhanga na hatimae indonesia ikakitoa.
shuhuda ni Judge Othman Jaji mkuu Tanzania aliongoza jopo la mahakimu kuendesha kesi za wahalifu wa kivita dhidi ya Watu wa East timor.
zanzibar na cuf waachane kabisa na mambo ya kura ...ccm ni waongo wanafik wakubwa....
 
Mioyoni mwao wanajua kama walichinja au walinyonga na pata taabu kujua hua wanaapa kwa kushikanini na kumtaja nani
 
Njia ilibaki Zanzibar ni nguvu tu ya umma.....kikaratasi cha kura ccm wanasema wazi ni geresha tu lakini hawaondoki....hawaelewi lugha hiyo.
zanzibar wasome historia ya East Timor...kisiwa kidogo iliokaliwa kwa nguvu na Indonesia...walijitolea mhanga na hatimae indonesia ikakitoa.
shuhuda ni Judge Othman Jaji mkuu Tanzania aliongoza jopo la mahakimu kuendesha kesi za wahalifu wa kivita dhidi ya Watu wa East timor.
zanzibar na cuf waachane kabisa na mambo ya kura ...ccm ni waongo wanafik wakubwa......

rahisi sana kuihamasisha na kuiandika andika sio kui Practise!

Vurugu Siku zote utajua Tarehe ya kuianzisha sio ya kuimaliza, Sudan Kusini walidanganywa kama wewe unavyowadanganya Wazanzibar na walianzisha Vurugu 1983 lakini mpaka Leo hii Pamoja na kupata Uhuru wao 2006 mpaka Leo Wanatamani wangebaki kwny Sudan Kamili.

Tatizo la Zanzibar ni Seif Sharif Hamad kupandikiza Migawanyiko apate Tiket ya katawala na Hilo hatofanikiwa na inajulikana!
 
Campain ni rahisi sana kuihamasisha na kuiandika andika sio kui Practise!

Vurugu Siku zote utajua Tarehe ya kuianzisha sio ya kuimaliza, Sudan Kusini walidanganywa kama wewe unavyowadanganya Wazanzibar na walianzisha Vurugu 1983 lakini mpaka Leo hii Pamoja na kupata Uhuru wao 2006 mpaka Leo Wanatamani wangebaki kwny Sudan Kamili.

Tatizo la Zanzibar ni Seif Sharif Hamad kupandikiza Migawanyiko apate Tiket ya katawala na Hilo hatofanikiwa na inajulikana!
Waroho wa madaraka kote huwa hawajui lugha ya ustaarab. Gambia mfano...na Ecowas imesema itamuondoa kwa nguvu.
gadafi hakujua nchi si yake..akaindolewa na mataifa
sadam nae hivo hivo..alifanya iraq ni nchi ya watoto wake...kama ccm znz inavo ifanya kuwa ni ya watoto wa marehemu wakubwa.
hawajui lugha nyengine na amethibitisha katibu mkuu wa chama Kinana. Ni kweli gharama za uhuru na haki huleta udhia...lakini haki hutawala.
ANC wangekua goi goi badi Madiba angeozea jela ya Botha kaburu.
Moi na Kanu yake kama Wakenya hawakua Vigilant na ngangari alikua hataki kutoka..lakini wakenya wakamwambia ondoka umeshindwa au tunagawana mbao...akatoka..
Kama unapenda Amami ya kweli na dhati basi ungewashauri hao uwapendao..kuwa wakishindwa wakae pembeni.....ndio democrasia....lakini status quo haiwezi kuendelea hivi hivi...lazima mukubali kukataliwa.
 
Kutaja Peoples Power na kuhusisha kuondolewa kwa Ghadafi na Saddam Hussein inaonesha hujui waliondolewa namna gani jitahidi kuwa unatumia Mifano unayoielewa Kisawasawa

Kutumia Mifano ya kina Madiba na CUF pia ni kutojua maana ya Ideology. Mzee Mandela aliamini Makaburu ni wabaya na hata aliposhawishiwa kufutiwa Kifungo cha Maisha na apatiwe nafasi ndani ya Serikali alikataa kwa kuwa itikadi yake iliamini Makaburu hawafai kuwa Viongozi lakini huyo Seif Sharif Hamad akiwa anatangaza alishinda lakin kura zake ziliibwa lakin alipopewa ofa ya Umakamu wa Rais aliipokea kwa Mikono miwili na akafunga Mdomo wake kuongelea 'Wizi wa kura' 2010-2015

KANU iliondoka Jina sio KANU Ideology Leo hii hujui ukizungumza KANU unamzungumza Uhuru Kenyata, Wanasiasa wa KANU walivua jezi za KANU na kurejea Ulingoni na jezi zingine halafu Wewe na Ki Tecno chako unadanyanya kuwa KANU iling'olewa!
 
Its very rare kuona mtu anaandika au kuelewa siasa kwa upana huu humu ndani. Very rare.
 
Alaa kwani hawa kina lowasa na seif si walikua ccm ?
Mifano iko sawa ni wanganganizi.
Kama ni idiology basi hao wanaona mbali ...ccm haini huko kwa akina Uhuru..wala msijilinganishe nao .
 
Back
Top Bottom