richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Unakuta mtoto wa kike umeumbika kila kona then mtu kaangalia dip pic moja kwa moja kazimika
Direct atakuja Pm kama kawaida yenu wanaume wa jf kwa Udungadunga kama mmesomea vile
Lakini yote tisa kumi, Mtoto wa kike kutongozwa ni kawaida hivyo haina haja ya kupanic
Lakini panaponchefua ni pale mwanaume anamwaga maneno matam pm ohhhh sijui "nimekuzimikia, nna gari pesa na nyumba nzuri" mara ohhh " Nataka nikuowe".
Sasa nnaposikililiza maneno ya mtu ni lazima nifungue kwanza profile yake ya Jf ili nipime IQ yake na maneno yake kama yanaendana. Mara nyingi huwa naangalia Thread zake na jinsi anavyoreply katika post za wengine.
"Kiruuuuuuu" kufumba na kufumbua unakuta mwanaume mzima tena kijana mdogo anashabikia chama chakavu. Tena matusi kwa wapinzani yeye ndio bingwa
Hiviiii mwanaume ambaye bado ni mshabiki wa chama chakavu Akili yake ipo sawa kweli? Tena kwa hali ngumu ilivyo sasa. Si atakuwa chizi fresh huyo au ni msukule kabisa?
Kwa hali ngumu ilivyo sasa mwanaume aliyekamilika ni lazima atakuwa na Hisia na maono ya kuhitaji mabadiliko tu
Mnikome jamanii