Fuatilia utajua mkuuMi ninayovaa ni nzima na inasoma majira vizuri, kwa wengine siwezi kuwasemea
Habari zenu,nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira.sasa hii INA umuhimu wani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati kumbe SAA kopo?mnatia aibu jamani
Jitetee MKUU, bora usovae kuliko kushusha hadhi yako.SAA inaonekana ila cm ionekani mfukoni bhnWanaume wengi tunavaa saa na mfukoni tuna simu mbili, kama saa ni mbovu basi simu zinatosha kusoma muda mkuu
Asante mkuuUmesema ukweli mtupu
He he he he he he heHata wanaobeba cndm huwa hawatumii
Kwani saa wanaume huvaa mkono gani?Alafu mbaya zaidi wanawake wanavaa za wanaume tena mkono wa kushoto.
DaaaaaahHabari zenu,nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira.sasa hii INA umuhimu wani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati kumbe SAA kopo?mnatia aibu jamani
Nini hasa lilikuwa kengo la utafiti wako? Nani kagharimia utafiti huo? Na je siyo kweli kuwa unatumiwa na mataifa ya nje kuleta uchochezi hasa wakati huu ambao tumewadhurumu waathirika wa tetemeko la Kagera misaada waliyochangiwa?Habari zenu,nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira.sasa hii INA umuhimu wani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati kumbe SAA kopo?mnatia aibu jamani