Wadau, jana nilikuwa nikisikiliza kipindi cha JAHAZI, Clouds Fm na ndipo nikapata nafasi ya kumsikia Sophia Simba akihojiwa na Kibonde kuhusu swala la yeye kugombea mwaka huu....
Mama huyo alisema, hatagombea ubunge sehemu yoyote ile ila atakuwa mpiga debe tu kwa wanawake watakaojitokeza...