Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
SIjaelewa msingi wa hii thread. Sometimes JF tunakuwa hatuna muelekeo kabsaaa. Clouds ni chombo cha habari binafsi na mambo ya ajira huko hayatuhusu UNLESS kaa wanavunja sheria fulani, basi hapo wanapaswa kumulikwa..Otherwise wee kaa hutaki kuwasikiza mlango upo wazi kuangalia ustaarabu kwingine, hujalazimishwa kusikiliza watangazaji wao 'waofeli shule'..sasawa?