nilikuwa nataka kupunguza ukali wa maisha kwa kuanza kulima nyanya .
nina kama feet 140*90 .
nika panga kuzalisha miche 1000 tu ya nyanya,
nikafanya mambo yote pamoja na kutibu udongo
kwa kuyumia furadan,nikanunua dawa ya ukungu aina ya baylatone(kwa ajili ya ukungu)
nikanunua thernder kwa...
fikiria kabla ya kutenda.
Angalia mchanganuo ufuatao;
200000/25=8000/=
11000-8000=3000/=
3000/8000*100=37.5%
8000*25*37.5%=75000/=
11000*25=275000/=
jamani hapa riba ni zaidi ya 37.5% kwa wiki huu ni zaidi yawizi wa macho.
yaani kopa 8000=kwa wiki halafu lipa 11000/= kwa wiki.
Hongera sana kwa kuliona hilo. Kwenye punga kuna vitu vitatu:
1. Mchele
2. Pumba kama mapepe (rice husks)
3. Pumba laini (rice pollishing)
Pumba laini yaaani (rice polishing) ni chakula cha mifugo kizuri kuliko hata
pumba za mahindi.
Swali. UNATAKA UTUMIE ZIPI MKUU?
PUMBA ZA MAPEPE(RICE...
mkuu bora umesema ila hali ni mbaya kufanya kazi halmashauri ni kama jela.
mtu anakaa zaidi ya miezi saba hujalipwa posho ya kujikimu wakati wa kuanza kazi,
pia pesa ya usafiri ndio usisema ukiomba hela wanasema oc haina hela.
hawa jamaa ni zaidi ya wanyama.
mapunjo ya mishahara ndio kabisa...
habari zenu wanajamvi.
mimi nataka kumwambia huyu mh asome vizuri kila topic zilizomo humu jamii forum
mfano awashauri wanakijiji wake/wapiga kura wake wajifunze jinsi ya kuondoa umasikini kwa
kufuga kuku(simple project zimo humu)
pia jinsi ya kuanzisha biashara + jinsi ya kufungua makampuni...
habari wadau,
a. POLENI SANA NA MGAO WA UMEME USIOISHA . HAYO NDIO MAISHA BORA TULIOAHIDIWA NA MKUU WA NCHI HII MIAKA 6
ILIYOPITA.
JAMANI UMEME NI KILA KITU,
MAJI
CHAKULA
MADAWA
USAFIRI
KAZI
PIA ILI UWEZE KUZALISHA UNAHITAJI
1. ARDHI
2.MALIGHAFI
3.NISHATI(MAJI,MAFUTA NA UMEME)
4. WATU...
nchi hii sijui usalama uko wapi,
mara wanyama wanaibiwa , mara mabomu tuliyonunua kwa kodi zetu yanatuua wenyewe,
mara askari kapiga raia risasi, ukirudi nyumbani kuna ulinzi shirikishi majambazi wantuvamia hakuna kulala ,ukipanda magari ya mikoani tunakufa kwa ajali, mchana nzi wa kutosha...
hongera kwa makala mr patric
hebu tujuze kuhusu root knod nematodes hapa ndio pana mziki .
nilishawahi kulima nyanya kule mbagala lakini hawa nematodes wanasumbua
nilitumia furadan na mocup lakini bado hebu tujuze kama una mpya kuhusu hawa nematodes.
sawa je wanatoa wapi malighafi ( raw materials) kama mawe?
ili utengeneze saruji ni lazima uwe na mawe yakutosha.
nyuma ya hicho kiwanda kuna eneo kubwa sana lenye mawe
na ndio huko kuna wafugaji wadogo wadogo kwa uande unaopakana na amboni.
VUTA TASWIRA VIZURI NA PIA FIKIRIA KWA MAKINI.:mod:
Unaweza ukajibu swali hili kwa kuangalia vitu viafutavyo nini unazalish na kwa ajili ya nani?
Maana yake ni kuwa biashara ina mambo mawili
Uzalishaji (Production)
Masoko (Marketing)
Kitu cha msingi kukumbuka uko katika biashara ili kuzalisha /kutafuta pesa.
Maana...
Ni nini biashara yako?
Unaweza ukajibu swali hili kwa kuangalia vitu viafutavyo nini unazalish na kwa ajili ya nani?
Maana yake ni kuwa biashara ina mambo mawili
Uzalishaji (Production)
Masoko (Marketing)
Kitu cha msingi kukumbuka uko katika biashara ili...
jamani wana jamvi mwenye habari kamili nasahihi atujuze,
kuna kampuni inaitwa athi riva imenunua eneo kubwa sana kwa ajili ya kuzalisha saruji tanga na kuna wafugaji wa n'gombe wa maziwa katika hilo eneo la kuanzia maweni hadi amboni:
nina wasisi kama inaweza watu wafukuzwe .
mwenye habari...
Watanzania tuna safari ndefu ya kwenda.
Hivi huyu prof. Anataka watu wa aina gani wakakae kule kinyerezi?
Hebu atueleze tunapata wapi 9mil kwa muda wa wiki 1.
Labda mafisadi ndio watakao nunua,
hii lazima ifike wakati tukatae tu.
Hiwezekani jamani haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
nawashauri wabongo mlioko huko ulaya njooni muwekeze bongo
anzisheni simple production industry hapa tz msaidie ndugu zenu
badala ya kuwanunulia mgari ya mitumba, simu,home theater.
huko mna access ya vitu vifuatavyao
1. capital
2.technology tena morden na pia
3.knowledge
soko lipo la africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.