Pumba za mpunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pumba za mpunga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MIGNON, Aug 2, 2011.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nipo katika eneo ilinalolimwa mpunga sana na kuna mashine mpya za kichina mabazo sio zinakoboa mpunga ila zinamenya!!
  Pumba zinazotokana na kumenywa kwa mpunga zimelundikana sana na nia yangu ni kutafuta ushauri kuhusu kuzigeuza kuwa kuni.
  Je kuna teknoljia ya kuweza ku press na kutengeneza kuni,nijuzeni ndugu zangu.
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Waone SIDO nenda kwa maonyesho ya nane nane watakupa ushauri,pia jaribu tembelea UDSM-nadhani na wao wanaeeza wakawa na utaalam
   
 3. m

  mchafukuoga Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera sana kwa kuliona hilo.
  kwenye punga kuna vitu vitatu:
  1. mchele
  2.pumba kama mapepe (rice husks)
  3.pumba laini (rice pollishing)


  pumba laini yaaani (rice polishing) ni chakula cha mifugo kizuri kuliko hata
  pumba za mahindi.
  swali. UNATAKA UTUMIE ZIPI MKUU?

  PUMBA ZA MAPEPE(RICE HUSKS)
  unaweza kuchomea hata tofali za udongo.
  uchaguzi ni wako.
  ahsante.
   
 4. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ushauri ndo huo umepewa...... sina la ziada zaidi ya kukukazania usiiweke pending hiyo idea na fanya kijasiriamali
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Karibu nane 8 Dodoma ndio tunaendelea na maonyesho!
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mi nahitaji msaada ni wapi nitapata pumba za mpunga kwa dar es salaam, asanteni sana na ninasubiri majibu.
   
 7. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hizo pumba zipo mkoa gani?wilaya or kijiji kipi,
  Je kuna umeme?
  machine zipo ,ila zinatumia umeme.na unaweza kupata mkaa/wood chips nzuri tu.
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  vipi pumba za mpunga??mbona kimya tunasubiri feedback
   
Loading...