Bila ya kuboresha haya umasikini hauishi katu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila ya kuboresha haya umasikini hauishi katu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchafukuoga, Jun 26, 2011.

 1. m

  mchafukuoga Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wadau,
  a. POLENI SANA NA MGAO WA UMEME USIOISHA . HAYO NDIO MAISHA BORA TULIOAHIDIWA NA MKUU WA NCHI HII MIAKA 6
  ILIYOPITA.
  JAMANI UMEME NI KILA KITU,
  MAJI
  CHAKULA
  MADAWA
  USAFIRI
  KAZI
  PIA ILI UWEZE KUZALISHA UNAHITAJI
  1. ARDHI
  2.MALIGHAFI
  3.NISHATI(MAJI,MAFUTA NA UMEME)
  4. WATU.
  MAFUTA NA UMEME NDIO HASA MUHIMU.
  UKIKOSA UMEME UZALISHAJI HAKUNA.
  SIKU HIZI HATA KWENDA KWA KINYOZI TUNAOGOPA MAANA UKIKAA
  TU UMEME HUOO!!
  INABIDI UTAFUTE KOFIA NA HAURUDI ZAIDI YA MASAA 72.(GAO WA MAGAMBA).
  SWALI LA MSINGI KWA NINI HAKUNA UMEME WA KUTOSHA, MBONA MGAO HAUISHI TOKA
  ENZI ZA MWINYI, MKAPA NA SASA JK , KAMA NI MTIHANI HUU MAGAMBA WAMESHINDWA
  KABISA.

  b.JAMANI HEBU TUJIULIZE HIVI HAYA MAISHA YALIVYO MAGUMU HALAFU SERIKALI INAMLIPA AFISA
  KILIMO TSH 270360/= KWA MWEZI HIVI ZINATOSHA NINI ,NJAA ITAISHA KWELI?
  HIVI ATAWAWEZESHA WAKULIMA VIZURI KWELI?
  JAMANI KI UKWELI NJAA HAITAISHA,
  NA BEI YA CHAKULA ITAONGEZEKA SANA , MBONA MNAJISAHAU ?
  HALI YA MAAFISA KILIMO NI MBAYA SANA WANTIA HURUMA.
  YAANI MAANA YAKE 270360/30=9012 KWA SIKU,
  JAMANI HIVI KWELI UMASIKINI UTAONDOKA KWELI,
  NJAA HAIONDOKI NG'O HATA KWA D7.
  JAMANI HATA POSHO /ALLOWANCE HAKUNA TENA HATA NYUMBA HUKO KIJIJINI HAKUNA
  WATASEMA WANA MIPANGO, NAWAAMBIA UMASIKINI KUONDOKA NI NDOTO NYIE
  ANGALIENI SEKTA MTAMBUKA WATOTO HAWASOMI BILA CHAKULA,
  WALIMU HAWAFUNDISHI BILA CHAKULA,
  NA NYIE WA MJINI CHAKULA KITAPANDA BEI TU KAMA MAAFISHA KILIMO
  HAWAWEZESHWI IMEKULA KWENU LAZIMA CHAKULA KIPANDE BEI.
  MNATEGEMEA KOROSHO,PAMBA,CHAI,MAHINDI,VIUNGO,KUKU,
  MG'OMBE,MBUZI.
  MAAFISA UGANI NDIO WASHAURI HEBU WAWEZESHWE JAMANI HALI YAO MBAYA
  SANA.
  KILIMO NI UTI WA MGONGO.
  NAOMBA KUTOA HOJA


   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  270360/30=90678.667 ?????????? Mh!..
   
Loading...