Mikutano ya Diaspora; waste of money, waste of time and waste of space | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano ya Diaspora; waste of money, waste of time and waste of space

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by profkobayashi, May 8, 2011.

 1. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Juzi na jana tumefanya mkutano wa Disapora hapa London na kama kawaida sie watu wa kuanzisha haya mambo halafu wenzetu wa sehemu zingine wanafuata

  Mfano:

  Ufunguzi wa matawi ya CCM kama uyoga ulianzia hapa lakini hii ni baada ya CUF kuanza mipango hiyo in 1995

  Kuwakataa mabalozi openly ? Naam hapa London ndio nyumbani kwake...ushahidi ni yule bwana aliyeondoka kabla ya bi mkubwa kuja hapa

  Kuunda Associations ambazo hatujui zinafanya nini?...well huku ndio kwenyewe mpaka zingine zinapewa nafasi za mikutano na mheshimiwa balozi kwa kuamini kuwa zina mipango kabambe ya kuendeleza waTZ waliopo hapa....

  Then tukaja na kitu kinaitwa investors forums...well what can I say imekuwa ni talk shop kuliko hata Jamii Forums

  Sasa tukaja na hiii michongo ya DIASPORA... ambayo on paper they are so fantastic...lakini ina charactersitics zifuatazo:

  Inafanywa mbali na wanakoishi hao watu wa Diaspora wengi

  Huwa inakuwa na ukata wa kutisha


  Kufanya mkutano siku ya work day na kutegemea attendance kubwa ili hali mnajua everyone is trying to do their bit kwenye hii "ROAD TO RECOVERY"


  TRA, CRDB, TPA na bila kusahau PPF wanaendelea na mipango yao ya kutuletea watu ambao hawezi kujibu maswali wala kujieleza (TRA), ambao si wa kweli (CRDB & and their useless cards zinazochukua miaka 2 kuwa printed), bila kusahau TPA ambao kila swali wanaloulizwa hutupa mpira kwa TSCAN operators na TRA na bila kusahau PPF ambao bora wasituletee watu kabisaaa!

  Then kuna hilo la kutokuwepo kwa jamii ambayo ni kubwa zaidi ya diaspora hapa (WATU WA VISIWANI). Ukiuliza utaambiwa ahhh wenyewe hawapendi kujishughulisha na wao ukiwauliza watakwambia hawezi kujishughulisha na watu ambao wanawa dharau lakini so far nimeambiwa wengi wao wako EAST LONDON sasa iweze wasafiri saa zaidi ya moja kwenda WEST LONDON as if East hakuna kumbi za mikutano.

  Mheshimiwa Kalaghe na watu wako jaribuni kuendeleza mikakati iliyowekwa na Bi Mkubwa ( Bi Maaajjar) ya ku engage watu wa visiwani waliopo hapa hasipo kuwa patronise na hali kadhalika viongozi wa TA mnatakiwa mufanye jitihada za ziada kwa kushirikiana na balozi ili kuendeleza MUAFAKA uliofanyika nyumbani.


  Lakini kama ikishindikana then naona tusipotezeane muda, tusipoteze pesa nyingi kukodisha ukubi na pia tusileteane na mediocres kama jamaa wa PPF na TRA waliokuja safari hii...kama tumeshindwa kufanya haya mambo bora tuwapelekee hao wenye kuyapenda haya mambo kama huko America waendelee sisi we should focus on mambo mengine kama ya kuchangishana pesa za kusafirishana tukishakufa na bila kusahau kufungua matawi ya vyama vya siasa
   
 2. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fake. Mnaongea nini zaidi ya kutuongezea machungu.... Tuacheni tutapambana wenyewe na mababu vikombe. Sioni maana ya diaspora kwenye uchumi. No figure for remittances, no any huge project you have brought. Naona watanzania walioko nje wengi ni wabinafsi wakija huku hanalala mahotelini simply because nyumba za baba zao au ndugu ni chafu... You are useless. Na hao officials wote wamekuja kufanya shopping to london na wapatekuhadithia tu wakirudi
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  lol..hivi kukaa nje bado si mali kitu..mawazo yaleyale watu walewale.
   
 4. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Watz ndani na nje ni sawa2 tu.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu this post was uncalled for... just read it again
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Khaa, mbona mkali hivi?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tanzania is still 100 years back, na mambo mengi bado hayajawa structured..Sasa kutegemea hao TRA sijui CRDB wafanye miracles ni kutokuwa realistic wajameni. Hebu niambieni bongo ni sekta gani ambayo ipo structured? sidhani kama ipo. Kila kitu shaghalabaghala kama shamba la mahindi lililovamiwa na nguruwe pori.
   
 8. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tanzania shamba la bibi na wengi wanaoishi nje hawana status ya uraia na wengi wamejilipua kudai wakongo na wanyarwanda na wasomali ili wapewe uraia ulaya ma marekani. Mateka wa fikra
   
 9. m

  mchafukuoga Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawashauri wabongo mlioko huko ulaya njooni muwekeze bongo
  anzisheni simple production industry hapa tz msaidie ndugu zenu
  badala ya kuwanunulia mgari ya mitumba, simu,home theater.
  huko mna access ya vitu vifuatavyao
  1. capital
  2.technology tena morden na pia
  3.knowledge
  soko lipo la africa mashariki, sadc nk.
  amkeni jamani muwsaidie ndugu zeni.
  ukirudi likizo/kusalimia
  njoo na kamashine kokote ambako kataondoa utegemezi hapa bongo.
  karibuni tena afrika mashariki.
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii nina jamaa zangu ni wasudantz,mwingine ni zimbabwe!wamejiripua namnyarwanda!
   
 11. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kweli watu wa system ni noma wamekuwa wababaishaji hapa bongo na sasa wameanzaku-export ubabaishaji kwenda nje! Kazi ipo.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu sijui kama unakijua ulichokiandika! Watanzania bwana hatuna zuri
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sio kila alieko nje ya nchi alijilipua. Sio kila alieko nje ya nchi hana makaratasi. Uache ku-generalize
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  profkobayashi!

  Sikubalini na wewe! Nimehudhuria mkutano wa mwaka huu.. Wembley Park. Kuna mambo mazuri sana nimejifunza pamoja na networking. Mzee wa Kilimo kwanza na jamaa wa NSSF rafiki yangu Magori wametufumbua macho sana. Sasa wewe uliyekuwa unakuja kuvizia msosi bila kufatilia mkutano lazima uone hauna maana. Kuna ujinga wa wanatanzania kujiona sisi wana diaspora ni zaidi ya wale walio nyumbani. Yule dada alielazimisha apewe kazi sababu eti Yuko majuu! Katibu mkuu Alimjibu vizuri njoo na qualification na added value kazi zipo, serikali haikuwekei kazi enzi hiyo imepita. Mtu ana vyeti vya college vya metropolitan anajiona bora kuliko mwenye degree ya UD huu ni ujinga

  Tuache kulalamika na Kujifanya vilema hatuwezi fikiria Kila kitu lawama serikalini....duuu niliboreka sana. Jitu kubwa kuuliza diaspora eti mizigo yangu haikufika? Oohhh kodi TRA sasa unataka usilipe kodi sababu unatoka UK?

  Kuna ujinga umetujaa vichwani! Serikali imefungua directorate ya diaspora pale foreign ministry mama Bertha Somi amefanya anachoweza pamoja na mh Membe badala ya kujadili issue mijitu inaongelea uzanzibara na ubara.....

  Endeleeni kulalamika badala ya kutumia opportunities serikali inazozijenga.

  Mch Masa K
   
 15. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kweli Magori rafiki yako? na kama ni rafiki yako the ungejua anafanya kazi wapi  Kuhusu TRA, its obvious kuwa Kitilya alimtuma mjumbe wake ambaye watu waliiishia kumcheka na ilibidi asaidiwe na moderator kujibu maswali


  Mheshimiwa Sanya alibring the house down kwa kuwapa ukweli
  maana kama ni r
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamaa wa TRA anatokea kitengo cha IT ndiyo sababu maswali yenu ya kutaka misamaha alikuwa hayawezi!

  Makosa ya uandikaji tu hapo NSSF? Mkuu mbona hukuuliza swali hata kwa Kiswahili? Unakuja piga majungu JF?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkutano umekuwa ukifanyika London kwa miaka 3 sasa! Kama kule mnaona ni mbali waliotoka Birmigham, Manchester, Southampton, Norwich, reading, Ireland, Scotland na sehemu Nyingine za UK watasema nini? Next meeting tuombe ufanyike Wales, Cardiff tuone Kama jamaa wa East London watatia timu iwapo hapo Wembley pamekuwa mbali......
   
 18. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama nimeelewa koboyashi anasema kuwa PPF walifanya presentation lakini ya kwao haikuwa nzuri

  Masanilo akajibu kuwa rafiki yake Magori wa PPF alifanya good presentation

  Kobayashi akajibu kuwa kama Masanilo angekuwa ni rafiki yake then angejua anafanya kazi wapi (kwa maana kuwa Magori anafanya kazi NNSF na si PPF ) kama alivyosema Masanilo

  Masanilo amejibu kuwa ni makosa ya uandishi wake

  Kobayashi anasema huwezi kusema mtu rafiki yako na usijue anafanya kazi wapi

  either way TRA mimi naona waliboa zaidi lakini jamaa wa Kilimo Kwanza alikuwa poa sana
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu naona nawe umekosea si NNSF bali ni NSSF!

  Anyway kulikuwa na session nzuri sana za Mambo ya Property acqusition na Mortgage financing na siku ya pili |Finance and investment wazee manataka mfaniwe nini tena?

  Unapokuwa Diaspora huhitaji favor kuliko watanzania wengine.....tuache kulia lia na kulaumu pasipo na stahili.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thread nzuri imeharibiwa.......
   
Loading...