Recent content by Mc kingo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Binti Mfalme wa Dola ya Mongolia Aliyefahamika kwa Jina la Khutulun

    Amenishinda😃😃,we piga hesabu tu za farasi ndio utaelewa kipindi😉
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Binti Mfalme wa Dola ya Mongolia Aliyefahamika kwa Jina la Khutulun

    Pata chai kwa chai jaba!🤗🤗
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku

    Unaweza Sema yote hayo na usijipe asilimia zote kua uta win NI Mara chache saana mkuu..heading haikawii kubadilika sometimes "Asikwambie mtu tutu..😃
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cannabis sativa...

    Vuta ndugu hata hamu ya pombe unakosa Kama unakunywa na NI Bora ukavuta..pia umbea utaacha utakua mtu wa kuwazia future yako tu Mambo ya wengine hayatokusumbua!🤗🤗
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Dada mbona tabia za men zile akitimia Hapo lakn akiwa nazo huwezi ishi nae hujaweka mfano;mlevi,mzinzi n.k!..au umechoka kuchagua akivuka Hapo awe anapumua tu😃
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

    🤣🤣
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alimuua Mchungaji Mtikila?

    😃😃
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

    😀😀✋✋
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Duh!..Mwez wa 4 huu naishi kishujaa moyo upo vitan😆
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wengi wetu hakuna kitu tunajua, tupunguzeni ushabiki..hakuna hata mwenye ushahidi humu zaidi wote tunatoa hukumu kwa tulichosikia sio kushuhudia!😊😊..IKIWA UNAHISI WEWE HATA DIWANI AKIAMUA ANAWEZA KUKUPANGIA KESI & HUKUMU MAHAKAMANI..KAA KIMYA!!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yananitesa mwenzenu

    Kama umehalalishwa kuingia kwenye mahusiano na wazazi tayar embu kwanza mgeukie mzazi wako wa kike muulize aliya mudu vipi kwani hayajaanza leo😊😊..tatizo wa Saiv mnayafuatilia Sana wakati nayo yanahitaji Uhuru,nimekuoa ndiyo na sijala ndani kwanin asubuh nirudi uanze kudai Nina mchepuko badala...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu mke anitoroke nikiwa mbali kutafuta mambo yananyooka

    😅😅
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    😃😃 Ubunifu!
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Sikatai ila wengi hawapo siriaz mishe nyngine za kuokoteza zipo ukitafutiza..Sasa wao Hadi ziwafate mkuu!!..naposema wanashinda kwa kijiwe ina maana pakiwa na ugum unakuta bado hawaz kubadili mchongo ko anaona Bora aende kupiga story tu akikosa POA..na KESHO anarud
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Kwa kipindi hiki n kawaida kumkuta binti mzuri kabisa anatembeza uji,matunda au mboga mboga na kijana mwenye nguvu zake kabisa hawezi hata kufanya baadhi kazi kwa kujitoa angali elimu Hana kwa kuhofia kushushwa cheo.,anaona Bora ashinde kituo Cha bajaji&boda kusubiri deiwaka na akikosa ndo basi...
Back
Top Bottom