Mapenzi yananitesa mwenzenu

Mapenzi yananitesa mwenzenu

Status
Not open for further replies.
Kama umehalalishwa kuingia kwenye mahusiano na wazazi tayar embu kwanza mgeukie mzazi wako wa kike muulize aliya mudu vipi kwani hayajaanza leo😊😊..tatizo wa Saiv mnayafuatilia Sana wakati nayo yanahitaji Uhuru,nimekuoa ndiyo na sijala ndani kwanin asubuh nirudi uanze kudai Nina mchepuko badala kusubir nikwambie nilipambana vip na majambazi Hadi nimefika leo swalaama kabisa!!😊😊
 
Tatizo lenu ni kuendekeza ujinga, fucc hard until your brains feel free then tafta hela tu! Hii dunia sio yetu...

Tafta mtu wa kukuchuja kisha pambania life lako tu usonge mbele mkuu! Ukijihisi unataka watoto zalisha mtu au beba mimba ya mtu unayempenda kisha kuwa responsible na watoto wako ishi maisha yako.

Mapenzi sio magumu kiasi hicho ila kukaza ubongo ndo kunatutesa wengi!
 
Vijana na hata watu wazima tusisahau kwamba tunachokitafsiri kama mapenzi ni kipengele kimoja tuu ndani ya mahusiano yenye vipengele vingi muhimu
 
Hahahahah sawa ila mapenzi yana tafsiri tofauti kwa kila mtu! Kwangu mie mapenzi ni majukumu ila kwa wengine mapenzi ni starehe tu kama pombe na sigara 🤩!

Kutokana na misconceptions nyingi imebakia tu mapenzi ni kuitana pet names na kuchomekana vikojoleo na kuombana favors kama pesa na material stuffs!

In its simplest form ni kutumiana tu! Je, upo tayari kutumika in the name of love?
 
Lazima uteseke....malipo ni apa apa Duniani na bado
 
Tatizo lenu ni kuendekeza ujinga, fucc hard until your brains feel free then tafta hela tu! Hii dunia sio yetu...

Tafta mtu wa kukuchuja kisha pambania life lako tu usonge mbele mkuu! Ukijihisi unataka watoto zalisha mtu au beba mimba ya mtu unayempenda kisha kuwa responsible na watoto wako ishi maisha yako.

Mapenzi sio magumu kiasi hicho ila kukaza ubongo ndo kunatutesa wengi!
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom