watu wengi wamekuwa hawamwelewi MH.ZITTO Z.KABWE,lakini naomba mjue kuwa mh. anaona mbali sana,tena sana kwa taarifa yenu tu Zitto ameshavuka 2010-2015 sasa anaangalia 2015-2020 hiyo ndo vision yake,nini kitafanyika 2020-0225,lakini watu wanaotiizama mambo ya leo watamwona MH.ZITTO kama...