Sikubaliania na gazeti la mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikubaliania na gazeti la mwananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiherehere, Nov 16, 2010.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Majimbo ya uchaguzi yaliyofanya uchaguzi wa marudio j2 trh 14/11/2010 ni SABA.

  Kati ya hayo saba CCM-3,CUF-3 na CHADEMA-1.

  Gazeti la MWANANCHI leo, nanukuu "UPINZANI WAZOA MAJIMBO MANNE"

  Mi sikubaliani na hili, hapa ni kwamba "UPINZANIA UMEZOA JIMBO MOJA" kwa kuwa Chama
  Cha wananchi CUF, zanzibar ni chama Tawala (isitoshe majimbo iliyochukua CUF yoote ni kutoka Z'BAR), kwa kuwa nacho kinaunda serikali, so CUF sio wapinzania tena kwa nini wanatujumuisha na CUF?? Naomba waandishi waliangalie hili.

  Kwenu wanajamii
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umenifanya nimejikuta laptop yangu nimeibeba kichwani. Uko right, wsaichoweza CUF ni kuvunja chama na kurudi CCM maana wanajua chama kina wenyewe na hawataambulia hata ukiranja wa kitongoji achilia mbali udiwani. Me nawashauri wavunje tu chama wajiunge na CCM kama alivyofanya mwenzao Dovutwa (kwangu mimi ni sawa na kuvunja chama unapokuwa upinzani na kuwaambia wanachama wako wampigie kura mgombea wa chama tawala). Hawa wote na Dovutwa me nawaona kama mamluki kwenye siasi wasiojua ni nini wanataka kufanya achi9lia mbali nini wanatakiwa kufanya. ME NATAMANI KUWA........
   
 3. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Upo sawa mjumbe ila Hupo sawa!
  Kuunda Serikali ya Shirikisho Haikifanyi CUF kuwa ni Chama Tawala.Raisi wa Zanzibar ana Mamlaka yote kikatiba kuteua maofisa wote wa serikali ya mapinduzi bila kushirikiana na Makamu wa Rais (1st+ 2nd).
  Refer Serikali ya Umoja wa kitaifa Kenya!This is more of political than the raelity,so CUF bado wanabaki kuwa wapinzani kwa mantiki kuwa upinzani si kupingana bali upinzani ni Chama kinachokuwa kikitafuta ridhaa ya wanachi kuongoza Dola kwa kuwa na sera Mbadala zinazokipa changamoto chama kinachoongoza Serikali.Mathalani Kenya,Raila Odinga yupo serikalini lakini huwa anasimama na kuingana na Rais wake hata kama wapo kwenye serikali moja!Seif hajawa Makamu wa Rais ili kusudi azibwe mdomo,bado anaweza kukemea utendaji wa serikali na ki ukweli bado Rais wa Zanzibar ana nguvu sana kikatiba.
  MTazamo wangu naona CUF bado ni wapinzani (ingawa wanaweza wasiwe pro/re - active kama mwanzo) na Mwanachi wapo Sahihi kwa title yao!
   
 4. f

  furahi JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  NIMEIPENDA HIYO. Nipe gwara basi.......
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni kweli lakini mwanachi tupo nao pamoja ni mwandishi wa hiyo habari alijisahau kidogo tumsamehe.

  peoples power
   
 6. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Zanzibar CUF sio chama cha upinzani. Na hata huku bara wanajiita chama cha upinzani lakini si kweli
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mazoea yana tabu.
  hata CCM ikipigwa chini huku watu watajisahau tu.
   
 8. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa sehemu nakuunga mkono ila Odinga is next level bana kuweza kuhimili kubakia mpinzani ndani ya serikali (japo wakati mwingine huonekana kunogewa na kupitiwa). Tofauti ni kwamba je Seif (labda na Lipumba) anaweza kumaintain standards ndani ya viyoyozi vya Ikulu?? Siku moja tena si mbali tutapata majibu ya maswali haya
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi kafu bado kinajiita chama at all chama cha upinzani? huo upinzani wao ni kati ya nani na nani? maana chadema si chama tawala!
  nimehoji kama bado wanajiita ni chama kwa sababu hawajui hata chama cha upinzani kinapaswa kupinzana na nani, uwezo wao wa kufikiri kwa sasa ni ziro kabisa. I wonder what has happened to Hamad Rashid.

  Naomba ufafanuzi: Chama cha upinzani ni kile kinachopingana na chama kilicho madarakani sasa ikitokea chama kinachojiita cha upinzani kama cuf ambayo katika serikali ya muungano haiko madarakani (yaani technically ni cha upinzani) kikaanza kukukipinga chama cha upinzani hiki chama (cuf kwa mfano) kinakuwa katika kundi lipi?...au chama kanjanja?
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!wewe mbona mtata sana!!
   
 11. M

  MBWEHA Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ni chama cha kiherehere,hawajui walitendalo mwaka huu ndo mwisho wao:hippie::hippie::hippie::hippie::hippie::hippie:
   
 12. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF kipolitiki ukiingalia slowly inavutwa kwenye u-CCM itafika pahala itapotea at all
   
 13. Catagena

  Catagena Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki ndicho kinafanya wananchi wengi, wavivu wakufikiri, wenye siasa za ujumla jumal hawaelewi ni kwa nini CHADEMA wameamua kutomkaribisha "mpinzani" yeyote kwenye uongozi bungeni. 1. CUF wanaunda serikali Zanzibar and it was clearly stated that they will have to implement the 201/2015 CCM electoral MANIFESTO, and none of the CUF activists came forward with an objection to that. "SILENCE MEANS YES". 2. NCCR Mageuzi, ama kwa kutmiwa na CCM au kwa uelewa wao mdogo wa hali ya siasa na mwenendo wa wapiga kura, waliomba kuchiwa jimbo la Kawe, while CHADEMA had already calculated an angle of attack, which indicated that they had a greater chance of winning..a refusal of which led into a serous commotion between NCCR_Mageuzi Chairman and CHADEMA. 3. TLP huna hata haja yakujiuliza juu ya subsumption yao katika uongozi wa upinzani, kwani mwenye kit wao, ambaye pia ni mbunge wa Vunjo ameshapoteza sanity...na kilichobaki kwake nikuwaomba CCM wamuonee huruma. 4. UDP wako sawa na TLP, kujipendekeza kwa CCM ili waonewe huruma...utakumbuka nyumba ya Mwenyekit wa chama hiki, ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi ilitaka kuuzwa..na ndipo alipoipigia magoti serikali ya CCM imnusuru..Huyu anaeza kuwa mpinzani wa kweli? na ikumbukwe, siku za mwisho wa Bunge la 9, mheshimiwa Cheyo alipiga U_TURN kwenye maanuzi yaliyofikiwa unanimously na kambi ya upinzani, tena yeye akiwa waziri kivuli...WHAT IS YOUR TAKE ON CHADEMA'S DECION NOT TO INCLUDE ANY OTHER "OPPOSTION" PARTY?

  Nawasilisha
   
 14. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuwaite CUF CCM au wapinzani yote sawa,lakini mwelekeo wao ushaanza kuonekana labda tuseme kuna makundi mawili ya upinzani yenye sifa tofauti na maslahi tofauti.Tulifikiri ccm ndio itakufa ya kwanza kumbe itaanza CUF
   
Loading...