Najianda kuchukua jimbo la kongwa ndugai hakuna anachowafanyia wananchi


Joined
Nov 6, 2010
Messages
21
Likes
0
Points
0

MBWEHA

Member
Joined Nov 6, 2010
21 0 0
Kusema kweli nimetafakari sana nimeona bila hatua za makusudi za kunusulu maendeleo ya jimbo langu la Kongwa wananchi wataendelea kurudi nyuma wakati maeneo mengine wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu, hii kupita bila kupingwa ni dhana ya umasikini wa mawazo na ndo inalemaza maendeleo.NAOMBA WANAKONGWA MNIUNGE MKONO KWA DHATI MKOMBOZI WENU NIPO NJIANI NAJA.

:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 

Forum statistics

Threads 1,204,345
Members 457,240
Posts 28,153,228