Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

nyinyi wana chadema jf branch mbona mnakosa ustaarabu wasomi si wametoa mtazamo wao!!!!
wapeni uhuru wa kuongea kama kuna wana chadema udom branch na wao si waseme ya kwao!
mnapenda kulazimisha kila kitu!!!
 
msomi akiwa chadema akiwa ccm si msomi...........! msomi aisifuye chadema aikosoaye si msomi.....! kama mchangia mada mmoja alivyosema... twasubiri wasomi wa chama cha migomo nao watoe tamko...!
 
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma.

TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.

NDUGU WAANDISHI WA HABARI,
NDUGU WANANCHI,.

Awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa Dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na Wabunge wa CHADEMA jana 18.11.2010 wakati Mhe. Rais alihutubia Bunge.

Kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

Kwa mantiki hiyo basi kama Wabunge hawamtambui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania Serikali sasa kama hawaitambui Serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo Bungeni.

Pili Baada ya uchaguzi wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘Bunge moja’ je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya Bunge moja?

Tatu msimamo wa kutomtambua Rais ni wa CHADEMA kama chama na waliotoka nje ya Bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha Bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi Rais Kikwete?.

Nne Kwa badhi ya wabunge wa CHADEMA kutomtambua Rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na Bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na Bunge itumike ni Rais ambaye wanadai hawamtutambui.

Ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa Serikali Bungeni .

Je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya Bunge na kwa Jamii kwa ujumla?.

Wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa Rais ni Sehemu ya Bunge na Bunge haliwezi kukamilika bila Rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na Bunge ni lazima yeye Rais aweke sahihi yake.

Katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii Mweneykiti wa CHADEMA MHE. Freeman Mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua Rais.

Sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui Baba yake kisha anaendelea kumwita Baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na Baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

Sisi vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma tunawaomba Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuwapuuza wabunge wa CHADEMA na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya Maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

Kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

Mwisho tungependa kuwaomba Wabunge wa CHADEMA wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya Bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa Taifa na si cha chama chao.

Tutambue kuwa kazi kubwa ya CHADEMA na Wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.

Aksanteni sana.

IMESOMWA NA THOBIAS MWESIGA RICHARD

KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA
Ndio products za shule za kata hizi, upeo mdogo na kukosa uelewa kabisa.
 
Leo ndiyo nimeamini kuwa humu JF kuna vilaza na mbumbumbu wakubwa. Hiyo taarifa ya vijana inajieleza na iko wazi kabisa. Oneni aibu na muwashauri wabunge wa Chadema. Soon or later they will go out of sight mirror completely!

hapa kuna welevyu, hao watoto ni wapuuzi, nenda sehemu yeyote ambao kuna waelevu angalia maoni yao juu ya kilichotokea jana, tatizo hao watoto they are so cheap
 
Leo ndiyo nimeamini kuwa humu JF kuna vilaza na mbumbumbu wakubwa. Hiyo taarifa ya vijana inajieleza na iko wazi kabisa. Oneni aibu na muwashauri wabunge wa Chadema. Soon or later they will go out of sight mirror completely!

Nafikiri kuna umuhimu wa kuanza kutafutana mmoja baada ya mwingine ili tupeane adabu, maana wengine hawaelewi kabisa.
 
Kama kweli hayo ndo maoni ya wasomi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, basi Tanzania haina wasomi kuna watu tu wapo vyuoni wanakua lkn hakuna wanachojifunza,natilishaka uwepo wao katika vyuo hivyo nawapa pole sana.Kwa kifupi hawasitahili kuwepo hapo
 
nyinyi wana chadema jf branch mbona mnakosa ustaarabu wasomi si wametoa mtazamo wao!!!!
wapeni uhuru wa kuongea kama kuna wana chadema udom branch na wao si waseme ya kwao!
mnapenda kulazimisha kila kitu!!!

hawaitaji saisa za kipuuzi, ujumbe jana ulifika.Wanachofanya sasa ni kuzidi kujichafua.Serikali ijibu hoja
 
Halafu wanajiita wasomi. Nafikiri matumizi ya hili neno wasomi (msomi) liangaliwe upya kama linamaanisha nini? Huwezi kujiita msomi halafu unachambua hoja kwa kuegemea upande mmoja. Msomi ni mtu anayejishughulisha na tafiti ili kuweza kutoa tamko kutokana na matokeo ya utafiti. Hawa watoto wamekaa na wabunge wa CHADEMA au uongozi wa CHADEMA na kuwauliza kama wanataka kupeleka ujumbe gani kwa watanzania? Kama usomi wenyewe ndo huu basi bora tu hiki chuo cha yeboyebo (vodafaster) kifungwe hadi hapo serikali itajipanga kuweza kutoa elimu makini kwa watu makini, ili kuandaa wasomi makini.
 
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma.

TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.

NDUGU WAANDISHI WA HABARI,
NDUGU WANANCHI,.

Awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa Dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na Wabunge wa CHADEMA jana 18.11.2010 wakati Mhe. Rais alihutubia Bunge.

Kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

Kwa mantiki hiyo basi kama Wabunge hawamtambui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania Serikali sasa kama hawaitambui Serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo Bungeni.

Pili Baada ya uchaguzi wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘Bunge moja’ je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya Bunge moja?

Tatu msimamo wa kutomtambua Rais ni wa CHADEMA kama chama na waliotoka nje ya Bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha Bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi Rais Kikwete?.

Nne Kwa badhi ya wabunge wa CHADEMA kutomtambua Rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na Bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na Bunge itumike ni Rais ambaye wanadai hawamtutambui.

Ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa Serikali Bungeni .

Je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya Bunge na kwa Jamii kwa ujumla?.

Wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa Rais ni Sehemu ya Bunge na Bunge haliwezi kukamilika bila Rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na Bunge ni lazima yeye Rais aweke sahihi yake.

Katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii Mweneykiti wa CHADEMA MHE. Freeman Mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua Rais.

Sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui Baba yake kisha anaendelea kumwita Baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na Baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

Sisi vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma tunawaomba Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuwapuuza wabunge wa CHADEMA na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya Maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

Kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

Mwisho tungependa kuwaomba Wabunge wa CHADEMA wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya Bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa Taifa na si cha chama chao.

Tutambue kuwa kazi kubwa ya CHADEMA na Wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.

Aksanteni sana.

IMESOMWA NA THOBIAS MWESIGA RICHARD

KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA

Nimejaribu kuupitia huu waraka, lakini mwisho wake nikagundua kuwa huu sio waraka wa kisomi kama wao wanavyojinasibisha (Wasomi), mwanzo mpaka mwisho waraka umejaa wananchi,Watanzania, Wawakirishwa nk, lakini hao wanaowasemea walishajaribu kuongea nao na kusikia wao wanachukuliaje hilo la wabunge wa Chadema kutoka nje? Waraka umeandikwa kupandikiza chuki kwa wananchi kuwa Chadema Haitawawakilisha bungeni, ni nani aliyesema hivyo?
 
Ni vipi wananchi wawapuuze wawakilishi wao? Mnajuaje hayo ndio tuliyowatuma ili kufikisha ujumbe? Kama wasomi fikirieni kabla ya kutenda!
 
Waraka huu umesomwa muda si mrefu mbele ya vyombo vya habari zaidi ya 15 huko Dodoma.

TAMKO LA VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU WA MKOA WA DODOMA, KUHUSU KITENDO CHA BAADHI YA WABUNGE WA CHADEMA KUTOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE.

NDUGU WAANDISHI WA HABARI,
NDUGU WANANCHI,.

Awali ya yote nawashukuru sana kuhitikia wito wetu wa gfafla kuja kujumika pamoja nasi leo hii, akhsanteni sana.

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko mkoa wa Dodoma kwa pamoja tunapenda kuweka wazi maoni yetu juu ya kitendo kilichofanywa na Wabunge wa CHADEMA jana 18.11.2010 wakati Mhe. Rais alihutubia Bunge.

Kwanza tumeshtushwa na kitendo hicho na kuweka wazi masikitiko yetu kwa kuwa kilichofanyika ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua waheshimiwa wabunge hao kuwawakilisha ndani ya chombo hicho kikubwa na chenye heshima kubwa ndani na nje ya nchi.

Bunge ni sehemu ya kuwakilisha wananchi kwa hoja chini ya kanuni zilizopo bila kujali itikadi ya chama chochote cha siasa na kazi kubwa ya mbunge ni kuishauri na kuisimamia Serikali kwa niaba ya wananchi waliomchagua au kuwachagua.

Kwa mantiki hiyo basi kama Wabunge hawamtambui Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimania Serikali sasa kama hawaitambui Serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo Bungeni.

Pili Baada ya uchaguzi wa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, wabunge hao pia walinukuliwa na vyombo vya habari na ushaidi tunao wakiweka wazi kumkubali kiongozi huyo, na kauli mbiu yake ya ‘Bunge moja’ je, kitendo walichofanya inaashiria utekelezaji wa kauli mbiu ya Bunge moja?

Tatu msimamo wa kutomtambua Rais ni wa CHADEMA kama chama na waliotoka nje ya Bunge ni wabunge sasa ni vema wabune hao watambue na kutafakari upya kama kweli wanawawakilisha Bungeni wananchi au cha na kutekeleza misimamo yao bila kujali maslahi ya waliowachagua na kumpa kura nyingi Rais Kikwete?.

Nne Kwa badhi ya wabunge wa CHADEMA kutomtambua Rais wakati akilihutubia bunge ni wazi kuwa hata sheria zitakzopitishwa na Bunge hawatahusika kwa kuwa mwenye mamlaka ya mwisho kukubali sheria iliyotungwa na Bunge itumike ni Rais ambaye wanadai hawamtutambui.

Ni dhahiri kuwa watashindwa kufanya kazi yao ya uwakilishi na usimamizi wa Serikali Bungeni .

Je wanawaonesha watanzania dalili gani kama si kutaka kuleta machafuko nchini na mgawanyiko ndani ya Bunge na kwa Jamii kwa ujumla?.

Wananchi waliowachagua wabunge hao wanapaswa kutafakari upya wawakilishi waliowachagua kama wana uelewa wa kutosha kuhusu bunge, sisi vijana wa vyuo vikuu tunajua na tunatambua kuwa Rais ni Sehemu ya Bunge na Bunge haliwezi kukamilika bila Rais na hii ndio maana kila sheria inayopitishwa na Bunge ni lazima yeye Rais aweke sahihi yake.

Katika mazungumo yake na waandishi wa habari wiki hii Mweneykiti wa CHADEMA MHE. Freeman Mbowe, alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wabunge wake na madiwani wanaweza kuendelea kuwakilisha wananchi licha ya kutomtambua Rais.

Sisi tunasema hili si sahihi bali ni upotoshaji mkubwa, kamwe mtoto hawezi kudai kuwa hamtabui Baba yake kisha anaendelea kumwita Baba na kutumia kila kitu kinachotolewa na Baba huyo huyo. Huo ni utovu wa nidhamu au kukosa maadili.

Sisi vijana wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma tunawaomba Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuwapuuza wabunge wa CHADEMA na kutambua kuwa lengo lao ni kutaka kutuhamisha kutoka kwenye ajenda ya msingi ya Maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa kama tulivyoshuhudia katika nchi jirani.

Kamwe tusikubali kudanganywa na watu wachache.

Mwisho tungependa kuwaomba Wabunge wa CHADEMA wawaombe radhi watanzania kwa kuvuruga tashwira safi ya Bunge letu lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa vinginevyo wanawadharau watanzania waliowachagua wakidhani kwamba niwaadilifu wa Taifa na si cha chama chao.

Tutambue kuwa kazi kubwa ya CHADEMA na Wabunge wake kwa sasa ni kuwachanganya watanzania ili badala ya kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa wabaki na malumbano ya hapa na pale kwa manufaa yao binafsi.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Bunge letu na kutuepusha na ubaguzi kama huu uliofanywa na baadhi ya Wabunge wa CHADEMA.

Aksanteni sana.

IMESOMWA NA THOBIAS MWESIGA RICHARD

KWA NIABA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA

Eeeh Mola linusuru taifa la Tanzania, Wanafunzi wanaojiita wasomi wameanza kutumiwa kama Daraja na kutetea udhalimu ndani ya nchi yetu. Wanajiingiza kwenye mambo ambayo hata hawayaelewi, na sijui waliandika kama walifanya proof reading kabla ya kusoma crap waliyoandika.
 
Nasikitika sana kuona wanao jiita wasomi wakishindwa kutafakari na kuishia kulamba miguu ya wachache.
Hii ina dhihirisha jinsi elimu yetu isivyo kuwa na uwezo wakukomboa fikra za hao wanao jiita wasomi. Ndo maana juzi nimewaona wakisheherekea na kunywa wine wakiwa na baadhi ya wabunge wa ccm... Mh amakweli hizi njaa...........
 
Why kwanza kujiita wasomi in the first place ?Usomi upi na maana yake nini? Huwezi kusema mawazo yako bila ya kujiita msomi wa Chuo Kikuu Dodoma ?Kwanza Dodoma mh eti wasomi na ndiyo mawazo yenu haya baada ya mkusuanyiko wa kuandika haya ? Jaribuni kuelewa kuna njia nyingi za kupeleka ujumbe ila nyie mnajua njia za Green Gurd na FFU tu .Hizi za Chadema ndiyo hasa zinazo takiwa .
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi. Huyu kijana katoa hoja yake tuijadili na kuweka mtazamo mbadala badala ya kumkashifu. Baadhi ya wachangiaji mnalidhalilisha hili jukwaa
 
kwanza kabisa uliyepost hii thread nawe ni mpumbavu kama walivyo wapumbavu wenzio waliotoa tamko la kishezi "user name mzanzibara" kumranzi wazanzibara wote ni ccm japo wapo waliojivisha vazi la upinzani! cuf wakiongoza kwa unafiki uliokubuhu itoshe kusema ule muda wakuendekeza njaa na kuwadidimiza walala hoi haupo tena na wapumbavu nyinyi kaaeni chini muwaze na kuwazua watanzania (watanganyika) ni werevu kuliko mnavyozani tupeni cv zenu tuwaone kama mnaqualify kuwa wasomi wapumbavu nyinyi! mliponyimwa haki zenu za kupiga kura mlikuwa wapi leo hii baada ya kununuliwa mwanyanyua vinywa vyenu visivyo na haya!
 
tuna hasara kubwa tulidhani tumewapeleka shule kuleta mabadiliko kumbe mmeenda kuwa wapumbavu na vibaraka wait mtakuja kutafuta ajira huku you will see what will happen
 
Kwakweli inasikitisha kuona hawa vijana wamekosa busara na maarifa. Kitendo chao ni support kwa kitendo cha chama tawala cha wizi wa kura.msirukie magari kwa mbele.mnaweza kuwa wasomi.ila akili nyingi si maarifa. The political freedom is impinged by people like u.
 
Back
Top Bottom