Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
People in here speak as though Zitto had a choice in this. Its clear that he considers himself more brilliant than Freeman who inherited the party from his father-in-law who is brilliant (Mzee Mtei.. yuko kwenye score board harvard pale). This is going to be the hottest Parliament since I dnt know.. EVER! Zitto's ultimate goal is to be President of URT and he was hoping to run in 2015 (as he announced during his campaigns) and SLaa's popularity has not made him happy. His chance to redeem himself from the Dowans thing and get back in the favour of the far and moderate-to-far-left of the public was to be leader of the opposition and be in the limelight thanks to TBC and the rest of the media, grilling the PM etc... That is what all Machiavellian politicians would hope for, and he is one.

On the other hand, he doesnt want to appear as a CCM puppet so it was also in his short-term interest to show unity in his party.. the result of course is the current jubilation of the intellectually mediocre masses which are happy that he is such a 'muungwana' ( this is exemplified by this thread and most of the comments in it..)

So he is in a tight spot, just like Sitta who has lost his public limelight and will now have to work harder, if at all towards his 2015 nomination. As for Zitto, I suspect his approach will be to outshine Freeman if he can in the House and there will be a lot of CHADEMA rivalry as the Party's leadership races to endear the public at large.

This is all good in the sense that it will mean a careful check on CCM and its dominance in the eyes of the public will continue to dwindle following this election. Infact, CCM is so uot of touch (this demonstrated by placing Anne Makinda in a position to win the Speakership just to spite Sitta) she is a vindictive woman who will try to counter the opposition rather than bring objective leadership in this very important and historical Parliament.

All in all it will be interesting to see who becomes PM and the final shape and size of the Cabinet as an indication if JK has in any shape or form understood what the will of the people means. This mainly being so because he as an individual with most power, technically has more of a chance of comprehending the times (maybe im giving him too much credit, hawa viongozi wetu saa nyingine ni vipofu kabisa) than the whole CCM machinery which seems to be allergic to a paradigm shift and thus less likely to prepare itself psychologically, much less make decisions in light of such a reality as the current one.

People like Makamba are completely unqualified to be doing anything that has actual effects on the lives of 40million people in the country and that is really what is wrong with Tanzania in my opinion. I pray for the day when we could boast a generation of charismatic leaders and who's wisdom and intelligence would put us in a position to achieve a better, safer, happier life, and all in less than 250 years.

Just my thoughts,

KK.
 
kutokana na mawazo na michango ya wana JF kuhusu Zitto kutumika kukigawa chama, leo imedhihirisha wazi kuwa watu bado hatujamwelewa Zitto Kabwe, dakika chache zilizopita Mhe. Zitto ame post kwenye facebook maneno yafuatayo "The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip." mimi kam mpiganaji wa miamvuli nasema nimependezwa na Mhe. Zitto kutoa kauli hii ambayo inaonyesha yeye binafsi amependezwa na hatua hiyo na kuwa yuko tayari kuwatumikia tanzania wote na mimi nikiwepo. Tuko pamoja. peoooopleeee
Nawapongeza Chadema kwa kuhitimisha mchakato wa kumpata KUB kwa stahili hii. Kama hii move imefanyika kwa dhati na si kwa ajili ya kamera za tv, recorder za radio au kalamu za magazeti, Chadema kitasimama.

However, kwa upande mwingine mimi nadhani hii move ya Chadema is rather 2 points lost instead of 3 fringe points gained (wapenzi wa football mtanielewa ninachomaanisha).
Chadema ingepata "a big plus" (3 points gained) kama ingemu-include walau mtu mmoja kutoka another opposition party (sidhani kama hili sheria inakataza aina hii ya association). Hivyo, kama bado kuna room yoyote ya kuwa-incorporate leaders of other opposition parties, be it.....and pronto!
 
watu wengi wamekuwa hawamwelewi MH.ZITTO Z.KABWE,lakini naomba mjue kuwa mh. anaona mbali sana,tena sana kwa taarifa yenu tu Zitto ameshavuka 2010-2015 sasa anaangalia 2015-2020 hiyo ndo vision yake,nini kitafanyika 2020-0225,lakini watu wanaotiizama mambo ya leo watamwona MH.ZITTO kama haeleweki au mafisadi wanamnyemelea,BIG UP MHE.SANA
 
kutokana na mawazo na michango ya wana JF kuhusu Zitto kutumika kukigawa chama, leo imedhihirisha wazi kuwa watu bado hatujamwelewa Zitto Kabwe, dakika chache zilizopita Mhe. Zitto ame post kwenye facebook maneno yafuatayo "The party through its secretariat has adopted a westminster system to elect the leader of the opposition, following that Chadema caucus has endorsed Rt. Hon. Freeman Mbowe as the leader, Zitto Kabwe as his Deputy and Tundu Lisu as Chiefwhip." mimi kam mpiganaji wa miamvuli nasema nimependezwa na Mhe. Zitto kutoa kauli hii ambayo inaonyesha yeye binafsi amependezwa na hatua hiyo na kuwa yuko tayari kuwatumikia tanzania wote na mimi nikiwepo. Tuko pamoja. peoooopleeee

Hata kama........Zitto HAAMINIKI. Mimi itanichukua karne kuamini kuwa Zitto anaitakia mema Chadema
 
kuna wanafikki humu,
haya zito haters mko wapi! @#$%^*
 
Zito ni mnafiki tu hana jipya. haya 2015 anataka kugombea uraisi
Angalia na huyu mbumbumbu! Hivi kwani akigombea urais ni vibaya? mbona anafaa? Uchungu utawaua. Ohh ushindi wa kishindo?! sasa uko wapi huo ushindi wa kishindo enyi wachakachuaji!
 
Mtu anapewa cheo kutokana na uwezo wake kiutendaji na sio kwa kujuana tu. hiyo ndo CHADEMA washa moto mwanzo mwisho
CCM hata mwalimu wa chekechea ambaye hajawahi kuwa kada wa chama anaweza chukua fomu na kesho utasikia ni mgombea kwa sababu tu ni hawala ya Kikwete au Makamba. Shame!

Kwani January alistahili kugombea ubunge? aliwahi kuwa mwenyekiti wa mtaa ndani ya CCM?Au Vita Kawawa alipataje kuwa mbunge wakati hajawahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi? Nyie acheni Chadema sisi ni kiboko. Wote tuliowapeleka bungeni walistahili kwenda huko!
 
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,

Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.

Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................
 
zitto now days simuelewi ananitia mashaka naanza kuhisi ni kibaraka
 
Kabwe Zitto is just another got like Seif Sharif Hamad. He is not a hero like many tend to believe. He has his own benefits he is fighting for. Let his stand point be clear. kama hawaungi mkono wenzake basi angebakia bungeni lakini kwa ku chicken out he meant the same. He is just among many fools in CUF and CHADEMA.

Ni kama kumwambia mtoto niletee maji: Mtoto A akauchuna bila kusema kitu na maji hakuleta lkn mtoto B akasema sikuletei. Nani ni bora katika hao. da fool will say mtoto A ni bora kwa wenye busara kama mimi wote ni sawa. Im sick of him. He s**** like Seif Sharif Hamad
 
Kweli wengine mko kazini!..
All the way CHADEMA...Hakuna haja ya kutumia raia na wakaenda wakapigwa mabomu na polisi na ffu.Nyie hakuna atakaewapiga mabomu but still you have done just.Smart,Bold and Clear!
Tumesubiri siku nyingi sana kuona au kupata chama cha siasa ambacho kiko serious,hatimaye chonde chonde CHADEMA You are filling the void.

You are not alone!
 
Mhe. Zito, heshma yako mzee. Watakuzushia meengi lakini sisi tunakujua uko makini.
Yakikuzidi huku hamia CCM, tutakufuata huko.
 
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,

Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.

Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................

Mi nadhani itabidi tuanze kucheck credibility ya baadhi ya members sasamanake mh hadi wanabia hoja zao............
 
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,

Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.

Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................

Hiyo red ni sifa kuu ya dr. weapon.
 
63.-(1) Rais kama sehemu moja ya Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na Katiba hii kwa ajili hiyo.
(2) Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa
niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa
majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.

Sasa kanunue katiba usome tena kabla hujaja hapa kuuliza maswali yasio na kichwa wala miguu.... Umesikia.
 
Samahani muheshimwa Zitto una ID ya jina la Mtanganyika tafadhali nifafanulie
 
Kwani Kabwe anapingana na uamuzi wa chama ? I think I am missing something here...
 
Kabwe Zitto is just another got like Seif Sharif Hamad. He is not a hero like many tend to believe. He has his own benefits he is fighting for. Let his stand point be clear. kama hawaungi mkono wenzake basi angebakia bungeni lakini kwa ku chicken out he meant the same. He is just among many fools in CUF and CHADEMA.

Ni kama kumwambia mtoto niletee maji: Mtoto A akauchuna bila kusema kitu na maji hakuleta lkn mtoto B akasema sikuletei. Nani ni bora katika hao. da fool will say mtoto A ni bora kwa wenye busara kama mimi wote ni sawa. Im sick of him. He s**** like Seif Sharif Hamad

Tatizo lenu hapa ndani mnapenda kuona CHADEMA inasambaratika ndo maana mnatafuta wapi kwa kuanzia, mlianza wakati aliotangaza kugombea uKUB haikuwork sasa mwatafuta njia nyingine, aliyeandika hapo amesema ni tetesi na akaomba zitto azungumze, zitto hajajibu tayari mnaanza kumtukana what is this? give him a break anamambo mengi ya kufanya sasa na siyo kuja kuthibitidha au kukanusha huu upupu, and if need be atakuja kuwajibu kwa wakati wake, so msimhukumu bila ushahidi.

hivi sasa hapa jamvini mnamwandama zitto unnecessarily, zitto keep the CHADEMA flag up and high I am bihind you all the way
 
Kuna kamanda mmoja alikuwa anaongoza kikosi kwenye matembezi ya safari ndefu, baada ya kutembea muda mrefu bila kupumuzika wengi walionekana kuchoka, afande akasimamisha kikosi chake. Akawaambia bado tuna safari ya kama maili 10 mbele, ila akatoa ofa wanaotaka tupumzike wasonge hatua tatu mbele, karibu kikosi kizima kikasonga isipokuwa isipokuwa mtu mmoja, kamanda akampongeza sana yule mtu akafikiri yuko tayari kuendelea na safari, lakini yule jamaa akamwambia mimi nimechoka kiasi kwamba hata hizo hatua tatu siwezi kuzipiga.

Huu mfano ni kukuonyesha kuwa Zitto hamtambui Kikwete na serikali yake kiasi kwamba hataki hata kumuona kwa karibu ndiyo maana hakuwepo kabisa bungeni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom