Recent content by Mbundenali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Huku namtumbo mbunga sec walimu wote hawapo. Hata mkuu wa shule hayupo. Yupo makamu wake tu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

    Kwa kweli mwigulu inabidi ahojiwe na polis, maana huu ni uhalifu pia! Polis wazembe walikuwa wapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba ni mwiba mkali kwa vyama vya siasa au ni kansa inayoimaliza CCM .

    Nape na mwigulu ni wahujumu wa ccm wamekuwa kama mbwa wabwekao lakini hawana nguvu! Wanaiangamiza ccm! Kazi ni umalaya tu!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba amteua KATANI AHMED KATANI kuwa mwenyekiti jumuiya ya vijana Taifa.

    Lazima amteue mwenzake, chama cha wapemba na ma alkaida, wadini sana hawa hawatufai!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara Mwikabwe Mbaroni kwa mauaji Singida

    Ccm wanahangaika sana, lakini hawafua dafu! 2015 wataisoma namba!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya marehemu Yohana Mpinga aliyekufa Ndago - Singida yafanyika

    Mwigulu anashuhudia unyama wake, mnafiki kama nini! Damu hii itamuwakia mwigulu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

    Ccm wakumbuke nchi hii si yao, wananchi tumechoka! Hata kama watawakamata viongozi wote wa cdm. Wananchi tutaikataa ccm!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

    Serikali hii ya kifisadi haiwezi kumchukulia hatua labda angekuwa opposition! Tunashukuru kwa kujua kuwa mwigulu ndo muuaji.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM wilaya ya Mpanda

    Ccm ni janga, chama la mabwepande! Hakuna jipya eti nepi anaagiza vyombo vya dola anamuacha muuaji mwigulu na gaidi!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba uko wapi?

    Mwigulu ni janga kwa taifa letu, hatufai kwa tanzania yenye amani sisi watu wa mikoa ya kusini hatutaki kumuona! Awatumie watu wa singida na kuwaamulia nani na kumsikiliza na nani si wa kumsikiliza!
  11. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

    Tunasema mara zote polis wanafanya kaz kwa ubaguzi na kwa kuipendelea ccm! Hawa ni mafisadi na wanatuibia kodi zetu! Nachelea kusema mwigulu ni janga!
  12. M

    JamiiForums Tanzania AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    Cjapata kuona mwanasheria dhaifu kama werema, halafu ameanza kuwa mshabiki zaidi kuliko mtaalamu! Maneno ya Tundu ndo wanayosema watu wengi mtaani!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya (CHADEMA) kuendelea baada ya hali kuwa shwari

    Kwa hilo nawapongeza polis, wasikubali kutumika na watu wachache kwa maslahi binafsi kama mwigulu nchemba halitakii mema taifa letu"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nape asema CHADEMA ni chama cha Kigaidi

    Nape amefilisika kisiasa ameshindwa kuvua magamba mafisadi anahangaika tu. Zamani nilikuwa namkubali sana lakini sahizi hamna kitu! Gaidi ni mwigulu nchemba aliyekodi vikundi vya kigaidi kwenye mkutano wa chadema!
  15. M

    JamiiForums Tanzania CUF Ni Mkombozi wa WaTanzania

    Toka lini ugaidi ukaongoza tanzania? Chama cha kidini na wapemba! Kwa taarifa yenu hata kuongoza zanzibar hamuwezi labda muongoze uamsho!
Back
Top Bottom