Mwigulu nchemba uko wapi?

Sasa ni mkakati wa CCM kuvuruga amani na utulivu ndani ya TZ yetu, kama wameweza kutawala nchi miaka zaidi ya 40 bila cha maana zaidi ya kuuza rasilimali za nchi hii, je waongezewe miaka mingapi waendelee kutawala?
 
kwani kuwa sumbawanga ndo kuna mzuia asijibu hoja? hebu amka na wewe acha kulala!
 
duh !Kumbe hakuna haja ya uchunguzi wa polisi ? wewe jamaa unatosha kutoa tuhuma na hukumu.


hili halina ubishi chadema wameua mwanairamba, wamekwenda iramba kwa ajili ya hasira baada ya mbunge wa iramba kuwaumbua kuhusu bajeti aliyoichana na kuitupa kuwa ilikuwa takataka na kuwaumbua ukabila kuwa wanakaa bungen kama sebulen kama wako kwenye kikao cha uko; pia na gari alilochukua kiongoz wa kambi ya upinzan kinyemela
 
Mwigulu ni janga kwa taifa letu, hatufai kwa tanzania yenye amani sisi watu wa mikoa ya kusini hatutaki kumuona! Awatumie watu wa singida na kuwaamulia nani na kumsikiliza na nani si wa kumsikiliza!
 
Phhhhew, yaani nahisi nasikiliza taarabu hata sijaelewa kitu.
 
Back
Top Bottom