Recent content by Mbuna Senior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Hapana Muungano ule ulikuwa ni kuziunganisha nchi mbili kwa kushirikiana baadhi ya mambo ila sijaelewa kwann Wazanzibari wanapewa uongozi huku kwetu Tanganyika lakini hakuna Mtanganyika anayepewa uongozi wa juu kule Zanzibar
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Daah huyo Mwl Mpande wa Moshi tech alikuwa ni mbabe wa kupitiliza alikuwa anaonea sana wanafunzi saa 11 asubuhi alikuwa anakuja bwenini kuwaamsha wanafunzi kwa bakora
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwamnyeto, Mkude, Shomari,Tshabalala Watemwa Stars

    Hongera sana kocha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Well said Jamaa yupo vizuri ni Pep Guardiola mwenye kitambi aiseee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Habari wanajamii wenzangu Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya. Baada ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Tanga mjini

    Mbususu za sabasaba zikoje kaka wanafinyia kwa ndani au wanatoa mtandao pendwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Naomba ufafanuzi hiyo namba 2 ina maana ukishafikisha zaidi ya miaka 15 kazini je ukiacha kazi unaweza kulipwa kiinua mgongo na pensheni au
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

    Aisee unafaidi sana duuh unapewa hadi kisamvu cha kopo na unamiminia mbegu mdomoni duuh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Azam FC yaachana na Kocha Mkuu Moallin pamoja na msaidizi wake

    Duuh ila jamaa yuko vizuri inawezekana wameshafanya usajili wa kocha mbadala maana ligi bado ni mbichi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Kuandika sijui ila nashukuru umeelewa kuwa ni mademu bumbaaaav zako hiyo suo dela nini maana yake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi bia zenye jina la hifadhi zimechakachuliwa

    Ukinywa hizo ata moyo wenyewe utaona umechakachuliwa haupendi kumwagiliwa na bia bandia tumia na 1 au na 2
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kujiangalia kwenye kioo usiku

    Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho? Wanazengo tupeni maoni yenu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Mpuuzi mkubwa kabisa wewe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Mshana Jr upo sahihi kwa mtazamo wako na wengine kwa jicho la tatu. Ila dogo pamoja na kuwa yeye ni tajiri kibongobongo ana dharau sana kwa wanamuziki wenzake na alishawahi kutoa kauli kuwa wote wajipange wafanye show pamoja alafu yeye atawakalisha, hiyo ni dharau kubwa kwa upande wa medani za...
Back
Top Bottom