Hoteli za Tanga mjini

ismail hassan

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
690
1,615
Natarajia kwenda Tanga kwenye hii weekend.

Naomba kufahamu hoteli au lodge nzuri kwa kiwango kisichozidi 40,000.

Nawasilisha.

Kwa wenyeji wa Mji huo naomba msaada.

Nawasilisha.
 
Mbususu za
Nenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae
sabasaba zikoje kaka wanafinyia kwa ndani au wanatoa mtandao pendwa
 
Ingia mkomileo lodge ipo barabara 14 karibu kabisa na ofisi za tashrif bei 25,000 utanishukuru au fika barabara 17 upande wa kwa mkuu mkuu wa mkoa uliza ABC lodge bei 20 -25 chumba safi,ukifika hapo nisalimia shani wa kaunta ya nje
 
...Je zilizo Karibu Karibu na Uwanja wa Mkwakwani na ilivyokuwa Majestic Cinema (Sasa hivi sijui ni Nini) ni zipi? Na Bei Zake Kwa Usiku Mmoja??
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom