Recent content by Mbotech

  1. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Naona jinsi ambavyo nguvu kubwa inatumika ili kumshusha tena Diamond

    Watu waache mambo yao waangaike na huyo mbongofleva wako
  2. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Certificate ICT nimpeleke wapi?

    Mpeleke udom.... kwa IT Wapo vizuri sana tena sana
  3. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Aina hii ya wanachuo huwa hawamalizi vyuo

    Hahaha nimekupata mkuu
  4. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Aina hii ya wanachuo huwa hawamalizi vyuo

    Habari! Nina imani kuwa wote humu ndani ni wazima wa afya. Leo ningependa kujumuika na nyinyi ndugu zangu kujadili aina za wanachuo ambao kwa asilimia kubwa hawamalizagi chuo. Ni tumaini langu uzi huu utasaidia ndugu jamaa na marafiki wanaojiandaa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini...
  5. Mbotech

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS

    je hawajawahi fundisha mashuleni?
  6. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Lectures wana Qualification gani?

    Umbea na usnitch
  7. Mbotech

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS

    Hiyo kitu kwa Tanzania ni ualimu tu
  8. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupatiwa kamera ya kufanyia biashara

    Mkuu unachukulia life simple sana
  9. Mbotech

    JamiiForums Tanzania List ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania

    Povu jingi alafu mwisho umetoa boko
  10. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

    Hii nzuri kiongozi
  11. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

    Alafu mkuu nimekufwatilia sana unaongeaga kama mzaha lakini kwa 90% unapita mulemule
  12. Mbotech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Hapa yenyewe saivi niko single kuna demu nimebreak up naye nimetulia mwezi kama wa nne huu naskilizia ntadondokea wapi
  13. Mbotech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Mi naumiaga sana alafu nachelewa kurecover lakini nikashapenda sehemu nyengine yani wewe nisahau kabisa hatakukumbuka inakuwa ni issue
  14. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Maana Halisi ya neno 'Mkuu' ni ipi?

    Mkuu akikujibu nitag
  15. Mbotech

    JamiiForums Tanzania Kama unaongea lugha ya kingereza vizuri bila kukwama nicheki tufanye kazi

    Watakuja mkuu usihofu
Back
Top Bottom