Tofauti ipo mkuu.Karibu Fulgent Careers kwa maelezo zaidi, ushauri na mwongozo katika masuala ya elimu na Career kwa gharama nafuu .Kijana ex-form4 2018 amepata UDOM (Dodoma) na UNIQUE (Dar) kwenda kusoma Certificate ya Communication and Information Technology. Kwa wajuvi, je kunatofauti yeyote kitaaluma kati ya vyuo hivi ambayo inakiweka chuo kimoja juu ya kingine? Kijana anatokea mkoani hivyo akienda Dar itabidi kuingia gharama zaidi upande wa hostel, usafiri etc. Tafadhali naomba ushauri.
Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
Kama dar itakuwa ni ghari aende dom.
Mpele UDOM , haina haja ya kuumiza kichwa sababu zingine.
kwa kigezo cha gharama mpeleke UDOM, kwa elimu bora mpeleke kwa hao Wahindi (UAD)
Ahsanteni sana kwa ushauri baada ya kuchuja na kuyaweka kwenye mizani - safari itakuwa kuelekea UDOM. ThanksMpeleke UDOM kwasababu ni chuo Kikuu, atakua na advantage katika kuendelea na ngazi zingine za masomo