Mbotech
Member
- Aug 23, 2019
- 81
- 79
Habari!
Nina imani kuwa wote humu ndani ni wazima wa afya. Leo ningependa kujumuika na nyinyi ndugu zangu kujadili aina za wanachuo ambao kwa asilimia kubwa hawamalizagi chuo.
Ni tumaini langu uzi huu utasaidia ndugu jamaa na marafiki wanaojiandaa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini kuepuka kuwa miungoni mwa aina hizi za watu hivyo basi kumaliza salama na kuja mtaani kusaidia katika ujenzi wa taifa.
Hivyo basi nakuomba utaje aina ya watu unaoamini hawamalizagi chuo. Nikianza na mimi:
1. Masharobaro hawamalizagi chuo.
2. Wale vimbelembele kila kitu wao ndio mstari wa mbele pia hawamalizagi chuo.