Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

kama ni wakiume Mkuu mfungulie banda la kuonyesha mpira,kwa makelele na fujo za wadau hapo ofisini kwake ndan ya wiki 1 tu dogo ataku avizuri usisahau kuleta mrejesho Mkuu
 
mwezi wa saba tu anajistresisha je graduate wa kuanzia 2015 kurudi nyuma mbona maisha yanaendelea tu
 
Yani anakaa na kula bure bado Ana stress??

Wengine baada ya kumaliza chuo hata nauli za kurudi makwetu tulikuwa hatuna na tulipambana kwa kuunga unga mjini kwa kukaa kwenye vyumba Kama stoo na kwa watu .. Wengine kipindi hicho tungepata sehem za kukaa bure tungefika mbali zaidi..Nathubutu kusema huyo mdogo wako anajidekeza na hayajui maisha ..

Sitaki kumwambia afanye nini kwasababu hilo swali wa kulijibu Ni yeye , anashindwaje kufanya Jambo la ndoto yake wakati halipi luku, Kodi, na hela ya maji ..Huu Ni umbugila wa kiwango Cha lami
 
Nimejaribu sana kuikwepa but nashindwa,ila sio mbaya na maisha yanasonga.
Hongera Kwa baadaye kuwa stable, maana ukitoka chuo/nilivotoka chuo nikaanza kuchora ramani ya maisha,nikijisemea hapa nikipata kazi ntafanya hivi na hivi full kujipa hopes,sasa uhalisia ni no job aisee,unahisi kuchanganyikiwa ,stress kibao

Solution ni kama hivo kujikeep busy na vibiashara, inasaidia sanaa

Pole usiruhusu sonona kuwa sehemu ya maisha bana, itoe kabisa unakwama wapi?
 
Duuuh,wakati nipo chuo nilikua siamini kama mtu anaweza ku survive kwa mshahara wa laki mbili na bado maisha yakaenda ila mtaani ni noma sana.

Wanaweza tena fresh kbsa yani..na upatu mtu anacheza na ndani anaongeza furniture [emoji16][emoji16]
 
Habari

Kuna mdogo wangu mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 7.

Baada ya kumaliza chuo nilimfwata nyumbani kwa mzee nikamchukua nakuishinae hapa nyumbani kwangu.

Lakini baada ya kukaanae nimegundua kuwa dogo anapresha ya maisha, yani anastress kutokana nakuwaza sana maisha.

Hali hiyo humfanya kutokuwa na furaha kabisa ilhali hakuna anachokosa hapa nyumbani maana anakula vizuri na kulala vizuri.

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri nifanye nini hili nimsaidie dogo maana naona anakosa furaha muda mwingi asijekuathirika kisaikolojia
Jinsia yake ni ipi ,Ke au Me?
 
Mtafutie kibarua na awe mtu wa kujichanganya.
 
Habari

Kuna mdogo wangu mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 7.

Baada ya kumaliza chuo nilimfwata nyumbani kwa mzee nikamchukua nakuishinae hapa nyumbani kwangu.

Lakini baada ya kukaanae nimegundua kuwa dogo anapresha ya maisha, yani anastress kutokana nakuwaza sana maisha.

Hali hiyo humfanya kutokuwa na furaha kabisa ilhali hakuna anachokosa hapa nyumbani maana anakula vizuri na kulala vizuri.

Sasa ndugu zangu naombeni ushauri nifanye nini hili nimsaidie dogo maana naona anakosa furaha muda mwingi asijekuathirika kisaikolojia
Amesoma kozi gani? Mtafutie japo intern.
Wajue marafiki zake pia wanaweza wakakusaidia.
 
Back
Top Bottom