Recent content by Mbokigwe Mwambungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa muziki wa DRC, upi muziki wako pendwa, ambao huuchoki kusikiliza.

    Nouvelle generation - LIPUALIPUA
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Huwa napata wakati mgumu sana ninaposikia watu waliooana na kuzaa, halafu mmojawapo anaona kuachana ndiyo jawabu la matatizo yaliyojitokeza kati ya huyo mume na huyo mke. Nilitegemea kuwa kama mmezaa basi fikra kubwa ingekuwa kufikiria hatma ya maisha ya hawa mliowazaa bila ridhaa yao. Inanipa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Wote wapate UJUZI, UFUNDI STADI na umahiri katika kutumia Technologia ya Computer ili wawezeshe kujiajiri, kuajiriwa na kuongeza UFANISI na TIJA katika shughuli binafsi, Biashara, viwanda vidogo na vikubwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba mniunge mkono ndugu zangu

    Hongera, ebu muulize Baba katika hiyo 100,000/= alipata shilingi ngapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    "constructive criticism" ziwe na adabu, vinginevyo "under eighteen" zinawasumbua. Waheshimu wazazi wenu ili mpate kuwa na maisha marefu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kumuagiza Waziri wa Fedha atoe pesa shilingi bilioni mbili toka Hazina ni sahihi?

    jadili, demokrasia ndani ya mihimili yenyewe kwa yenyewe lakini mwisho wa siku Rais ndiye mhimili mkuu..!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maajabu ya Wanawake...

    Hivi dunia nzima wanaume wana mawazo hayo? nahisi wapo wengine wamewaelewa na wanaishi na wanawake RAHA MUSTAREHE......! KAMA NA WEWE UMEYAELEWA VIZURI HAYO NAWE PIA UTAISHI NAO VIZURI BILA SHIDA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Familia(Mke na Mtoto) hawanipendi licha ya mimi kupambana kwa ajili yao

    Musinga nimeipenda hiyo..!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    Safi sana Mzukulu...!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    Naunga mkono hoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inauma sana ila maisha yanatulazimisha

    Mbona anaitumikia jamii, inakuwaje anasikitika?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wangapi tumetumia hii kitu kusomea majumbani kwetu

    Enzi hizo mlipasua wenye Umeme, Simu na TV zao wanafanya nini?
Back
Top Bottom