Haya ndio maajabu ya Wanawake...

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Wanawake ni binaadamu wa ajabu sana katika uso huu wa dunia yaani hawa watu ni next level,kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa,Newton na uwezo wake wote Alishindwa kuwaelewa,mtume Paulo na manabii wengine wakaishia tu kushauri kwamba tuishi nao kwa akili sana Je unajua kwanini hawaeleweki? Hata ukiwauliza wao wenyewe watashindwa kukujibu tena ukiniuliza mimi tutashikishana uchawi tu subiri nikuambie ila naamini pia hutaelewa.

1- Ukimuoa Mwanamke Akiwa Na Miaka 25 Itakuchukua Miaka Mingine 25 Kumuelewa Na Hapo Utakuwa Umemuelewa Kwa Asilimia 85% Tu Hizo Nyingine Mwachie Mungu Ndugu Yangu.

2- Unaweza mnunulia V8 mwanamke akaenda nayo kutembea akamkuta kaka anatembea barabarani akaamua kumpa lift (sio vibaya) njiani akaamua kuingia sheli kujaza mafuta akaishiwa na elfu 20 yule kaka akaamua kuongezea ili safari iendelee huwezi amini anaweza mtunuku penzi yule Kaka na kukusahau wewe uliyemnunulia gari unabisha chunguza.

3- Mwanamke ndio muigizaji mkubwa sana anaweza akalia kwa furaha na akacheka kwa huzuni bado hujaelewa na hutaelewa ndugu yangu acha tu.

4- Mwanamke unaweza mpa hela elfu 50 aende kununua nyama buchan lakini muuza nyama akamuongeza robo kilo tu hilo litamfurahisha kiasi cha kumtunuku penzi muuza bucha akasahau wewe uliyempa elfu 50 ya nyama ndugu najua huwezi elewa.

5- Mwanamke unaweza mnunulia perfume,nguo nzuri,vipodozi vya kila aina na weaving juu akipita mtaani akisifiwa na mwanaume basi anaweza akampenda huyo mwanaume kisa tu amemsifia na kusahau wewe uliyefanya apendeze pasua kichwa kweli kweli.

6- Mwanamke unaweza zaa naye watoto siku mkigombana utasikia akisema "kwanza naondoka na watoto wangu" amesahau kwamba watoto ni Wenu nyote ndugu huwezi elewa.

7-Mwanamke anaweza akakupenda bila sababu ama akakuchukia bila sababu tofauti kabisa na viumbe wengine.

8- Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana na akisema hapana humaanisha ndio chunga sana usije jichanganya ndugu yangu

9- Mwanamke hupenda wanaume wenye tabia za ajabu mfano wakorofi,wahuni,majambazi,waonevu na wasiojali lakini ukiwauliza watakwambia wanapenda wanaume wakarimu,wacha Mungu,wapole na wanaojali kama wao wenyewe hawajui wanachopenda je wewe utajua?Daah

10- Jinsi unavyompenda na kumthibitishia upendo wako kwake ndivyo jinsi anavyozidi kujiweka mbali na wewe,wanawake wanapenda migogoro na vurugu zisizo na maana na usipomchoka wewe atakuchoka yeye hahaha ndugu tuendelee na maajabu bado sana.....

11- Mwanamke hapendi vitu vikubwa wala vidogo yaani kiufupi hawana chaguo maalumu unaweza mnunulia gari lakini sio garantii ya yeye kutulia kwako anaweza akakusaliti hata na mosha gari wako,unaweza mjengea nyumba lakini bado akazini na mtunza bustani wako ni maajabu

12- Mwanamke Hapendagi Ukweli siku zote anaweza akakuomba elfu 50 asubuhi ukamwambia hali mbaya chukua 30 kwanza kabla ya saa 10 nitakumalizia hiyo 20 ila akatokea mtu mwengine akampa 15 na kumdanganya amesahau ATM card nyumbani ila alitaka ampe laki 1 nzima
Usishangae ukasalitiwa hata kabla ya hiyo saa 10 haijafika kisa 15k na uongo juu inauma sana.

13-Unaweza Mnunulia mwanamke smartphone nzuri ya gharama akawa anachart ghafla bundle likaisha akawa amebakiwa na dakika tu akajaribu kuomba vocha kwa mtu mwengine akapewa niamini hilo tu linaweza fanya aamini aliyempa vocha anampenda na kumthamini kuliko wewe uliyegharamia simu ya thamani inasikitisha.

Yapo mengi sana yanayochanganya kwa hawa wenzetu nadhani kwa leo tushie hapa najua ushaanza kuumwa na kichwa
 
Back
Top Bottom