Wangapi tumetumia hii kitu kusomea majumbani kwetu

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,530
1,733
1587046120009.png

Kizazi hiki vijana wadogo wa Daslam wanaweza kusema ni bomu.
Ila maisha yanaenda kasi sana nakumbuka enzi hizo utambi unatafuta kanga chakavu.
 
Nimeitumia sana kulipiza visasi vyangu utotoni. Mwanafamilia akinizingua mchana nikataka kumbonda wazazi wakaingilia nilikuwa nategea usiku tunasoma au tunakula nakapuliza kakizimika tu mbaya wangu anakula konzi moja kubwa sana😀😆
 
Dah.. Nikajua unatuletea App
Ya vijana kujisomea home wakati huu wa Corona.
 
Siku hizi mpaka vijijini kuna umeme wa REA japo sio vijiji vyote..bado kuna ambao wanatumia hii kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom