Recent content by Mboka Manyema

  1. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mkuu nimekubali, Hata mimi unanijua!!!
  2. Mboka Manyema

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nawakumbuka members kama Pundit, Game theory, Fundi mchudo, nyani ngabu I joined Jf 2008 been as guest since 2007 Big up saana JF
  3. Mboka Manyema

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Maneno aliyosema gwajima ni uchochezi wa kidini full stop. Huhitaji elimu kugundua hilo, hata angekua sheikh ndio kaota na kuhadithia ndoto yake kwamba makanisa yote yatageuka madrasa pia ni uchochezi wa kidini wa hali ya juu. Lazima akemewe na wapenda amani, umoja na utulivu wa nchi hii...
  4. Mboka Manyema

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Najash alisema misikiti yote igeuzwe Sunday school halafu akasifiwa na mtume? Au aliwahi kuukashif uislamu kwa njia yoyote ile?
  5. Mboka Manyema

    Kumbe wazaramo wamelowea

    Kamba😂😂😂
  6. Mboka Manyema

    Msaada: Bei na mahali inapopatikana mizani ya digital kwa hapa DSM

    Sahel Trading Co. Ltd Morogoro road / jamhuri street For more info. Sahel Trading Co. ltd - Introduction Utapata mizani unayohitaji.
  7. Mboka Manyema

    Bongo Lounge in Guangzhou, China

    Sisi wataalam wa china, pale Guangzhou tunakula chakula cha kibongo long time😂😂 Ukiingia kwa dada Kulwa pale tinxiu building ugali na vikorombwezo vyote vinapatikana muda wote na kama msosi umeisha basi unapikiwa.
  8. Mboka Manyema

    PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

    Nafikiri haujajua tatizo linaanzia wapi, sio kila kitu unaleta siasa na chuki zisizo na tija. Ni vizuri comment as a great thinker ili wadau wafaidike na ndio "MOTO" ya JF au kaa kimya sikiliza wajuzi. Anyway turudi kwenye mada, Mr Mansoor anaruhusiwa kisheria kumiliki silaha za aina hiyo na...
  9. Mboka Manyema

    Wasomali walifikaje Tabora?

    Naomba nitajie familia 5 za wasomali wanaoishi Tabora kwa sasa, Sio kweli wasomali ni wengi tabora! Nadhani huijui vizuri Tabora na labda nikusaidie kutaja kuna family moja ipo mtaa wa ngoma sakasi halafu nyingine ipo pembeni ya msikiti wa manyema ingine pale rufita ya kina rage. Family ya...
  10. Mboka Manyema

    Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Ndugu zangu, nimekumbuka mambo mengi saana kupitia uzi huu. Hebu niulize kuna mtu anamkumbuka power chuma? Haaa haaaaa
  11. Mboka Manyema

    nipewe....

    Baada ya kutafakari saana nimepata jibu, mnunulie charahani ya umeme tatizo litakwisha. si unajua ile charahani ya kawaida miguu inakua inacheza speed muda wote hapo inatengeneza friction kwenye papuchi basi kutwa nzima anapiga mabao ile mbaya ndio maana hana hamu kabisa haa haa haaaa.
  12. Mboka Manyema

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Habari, Maneno uliyoyaleta hapa JF ni ya uongo, Mpaka sasa hakuna duka la MCHINA kitumbini linalouza bidhaa za dukani kwa jumla au hata kwa rejareja na halijawahi kuwepo kabla. kulikua na duka la mchina anauza used computer mtaa wa Libya opp Oilcom ambalo hivi sasa limefungwa na lingine lipo...
  13. Mboka Manyema

    Wawili wauawa Arusha

    [COLOR="#000000"][/COLOR Habari Kaka, Naona unaihusisha CCM na msururu wa vifo vinavyotokea Arusha lakini unasahau kwamba kila kifo kimetokea kwa namna tofauti kwa mfano kuna ambaye amepata ajali ya ndege na mwingine ameanguka kutoka gorofani nje ya nchi. Hawa waliofariki leo sio wafadhili wa...
Back
Top Bottom