Mbona simple tu mkuu wangu! Fanya hivi, anza kumtegea yeye awe anarudi kabla yako. Ukishahisi kwamba amesharudi home tu, na wewe sasa ndo unarudi....i hope itakuwa ucku kidogo! Ukifika tu, msalimie haraka haraka halafu jifanye kama hutaki kuwa nae karibu kisha kimbilia bafuni kuoga!
Ukishamaliza kuoga tu, kajibwage kitandani na u-force usingizi!
Fanya hivyo kama mara tano hivi mfululizo; am telling you, kuchoka kwake kote kutamwondoka huyo!!! Atakachojiuliza ni kwamba mbona unaporudi tu unakimbilia kuoga!! Miwivu hapo hapo itamuanza na ili a-prove itabidi awe anakupa majambo ili aone utaweza kupiga mzigo au vipi!
Akikupa mambo unatakiwa kufanya nini? Siku ya kwanza zuga, jifanye hujisikii kabisa....mwambie umechoka! cku ya pili baada ya kuwa jana yake amekutegeshea mambo, rudi mapema! Obvious, atakutegeshea tena mambo! Piga mashine kwa raha zako!! Hapo ataona, ahg, kumbe ulikuwa wasi wasi wake tu....huna mtu nje wala nini!! Hapo ataanza tena ile tabia yake ya kuchoka! Akijichokesha cku mbili mfululizo, anza tena kuchelewa na ukifka home unakimbilia bafuni! Atakutegeshea tena mambo, mwambie umechoka! cku ya pili yake tena, rudi mapema! Akikupa vitu; kula kwa raha zako kwa spid zote!
Unajua atakuwa amepata picha gani hapo? Atagundua cku anapochoka choka na wewe unachelewa kurudi! cku hiyo akikupa, unashindwa kula(atahisi unakuwa ushabenjua mahala ingawaje hana ushahidi). Lakini ukipumzika cku moja tu, unakua na full miguvu kama simba! Hapo atahitimisha kwamba kumbe anapochoka choka tu; wewe unaamua kujipumzisha mahala lakini akiacha kuchoka choka, unakuwa mume mwema unayerudi home mapema na ukipewa mzigo unaula kisawasawa! Finally, ataipunguza hiyo rate ya kuchoka choka ili kwa kile atakachohisi kwamba ili akudhibiti usiwe unatoka nje!
It's just psychological attack!