Recent content by Mboka man

 1. M

  Vijana walio wengi kushindwa maisha ya kujitegemea tatizo ni nini?

  Hiii mada nzito sana lakini naomba niseme Tatizo la kwanza Ni la kijana mwenyewe yaani ameshidwa kutengeneza mfumo wa maisha yake ya badae akitegemea kuajiriwa hivyo jinsi swala la ajira linavyozidi kuchukua muda mrefu na ndio jinsi kijana anavyozidi kukaa nyumbani Tatizo la pili ni...
 2. M

  Ni njia ipi sahihi au ya kudeal na toxic partner ndani ya mahusiano

  Kama mnavyojua ndugu zangu katika mahusiano siku zote hamuwezi kuwa na furaha ila kuna wakati mnaweza mkapishana mkasameheana na maisha yakaendelea. Katika mahusiano pia kuna wakati mpenzi wako sweat na kuna wakati mpenzi wako akawa toxic hali ambayo inawafanya waanze kujuta au kuuumia. Je...
 3. M

  Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Biashara

  BROO SIKUSHAULI KABISA UFANYE KAZI YA UALIMU KAMA HAUKUSOMEA UALIMU KWANI SIKU UKIKAMATWA NA WAKAGUZI TOKA WIZARA YA ELIMU KESI YAKE SOO YA KITOTO ALAFU KWA UTAWALA HUU JIANDAE KUUMIA GEREZANI
 4. M

  My experience on how to date with a Woman who is 'Financially Stable'

  Hii mada imenigusa mnoo lakini naomba niseme kitu kimoja mwanaume kama hujiamini na mwanamke wako akagundua udhaifu wako basi atakuburuza kama gali bovu,utasimagwa, utapelekeshwa,n.k Kwa kifupi mwanamke akishajua mwanaume unajuamini hata ukiachana nae unaona huna cha kupoteza lakini pia ukawa...
 5. M

  Saikolojia inatuambia nini juu ya misimamo ya mwanamke

  Wanawake ni watu hisia zaidi kuliko sisi wanaume maamuzi ya mwanamke huwa yanayotokana na akiwa either ana furaha,huzuni,Hasira ndo maana mwanamke ukigombana nae anaweza safisha chumba hivi hiviii
 6. M

  Kupotezeana muda kukome

  UNAMWACHA ANAYEKUPENDA UNAMFATA ASIYEKUPENDA ETI KISA NDOA *********
 7. M

  Tuache masihara, idara ya FBI ya Marekani wako Sayari nyingine kwenye mambo ya uchunguzi wa makosa ya jinai

  FBI HAMNA KITU KUNA WALE JAMAA WA SCOTLAND NA MOSSAD NI HATARI MKUU
 8. M

  Kamwe usikubali rafiki au ndugu aliyefilisika awe sehemu ya maisha yako

  Kumekuwepo na Katabia flani miongoni mwa ndugu zetu au marafiki wakishafilisika huwa wanatafuta mtu gani awe sehemu ya maisha yake. Watu wa aina hii wanapokuja katika maisha yako hawawezi kuwa productive kwako, zaidi wanakuja kukufilisi narudia tena wanakuja kukufilisi na kama sio kukufilisi...
 9. M

  Kwa Mara ya kwanza leo nimeonesha uanaume wangu mpaka mtoto wa kike kaomba poo

  Katika mahusiano swala la migogoro ni swala la kawaida sana na swala kugombana au kutofautiana ni kawaida sana lakini pia tunapogundua tumekosea huwa tunajitahidi wengine kuomba msamaha na kubembeleza mambo yaishe . Ila kuna watu wana tabia ya ukiwakosea basi wana tumia fimbo hiyo kukuchapia...
 10. M

  Unawezaje kurudiana na X wako?

  Kwa kifupi ukisoma saikolojia ya mapenzi mtu anaetaka kurudiana na mpenzi wake wa zamani au amerudisha mapenzi kwa mpenzi wa zamani ujue 1.alichotegemea katika mahusiano mapya Socho anaona bora amrudie Yule wa zamani 2.amekosa mtu wa kufanya replacement hivyo anaona bora nirudi kule kule kwa...
 11. M

  Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

  Mafuta ya breaki
 12. M

  Heri kuoa kwenye familia masikini au kuoa kwenye familia iliyokuzidi kipato?

  Ukioa familia masikini kila siku ndugu wa mwanamke shida haziiishi ukoo mzma unakutegemea wewe mara leo hivi mara kesho vile. Ukioa familia yenye kipato cha juu sana kuliko ninyi ujiandae maana kuna fedhea hatari huko mbeleni ndoa yako itakuwa inaendeshwa na mama mkwe pia tegemea ndugu zako...
 13. M

  Vijana wanaoponda wenzao wanaolalamika maisha magumu, kipi kinawafanya wajiamini?

  Kwa maisha ninayoyapitia na jinsi ninavyopambana na haya maisha niweze kutoka; kwa jinsi ninavyoumiza kichwa maisha ya kujitegemea yanavyonipeleka kasi alafu nikisikia kijana ananiponda nalalamika maisha magumu huwa najiuliza: Hivi ujasiri wa kuniponda huwa anautoa wapi akioniona nalalamika...
 14. M

  Ngoma kali za mapenzi zilizopata kutokea katika Bongo fleva

  Nameless nasinzia Nyota ndogo natafuta wa kunipenda mimi Gwea dakika moja tuu Dully skyes. Julieta
 15. M

  Kwanini watu wengi waliofanikiwa kimaisha unakuta wameoa wanawake wa kawaida sana?

  Kila jambo lina wakati wake Kwa maisha ya sasa kijana unahitaji mwanamke msomi ambae atakupa changamoto za kukufanya upambane na maisha
Top Bottom