Rais wa zamani, Laurent Gbagbo atangaza kuwania Urais mwaka 2025

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1710049172441.png

IVORY COAST: Rais wa zamani aliyewahi kushikiliwa kwa miaka 10 na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), Laurent Gbagbo (78), ametangaza kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

Gbagbo alikamatwa mwaka 2011 na kupelekwa The Hague, baada ya kusababisha machafuko nchini Ivory Coast kutokana na kukataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, hali iliyosababisha vurugu na Vifo vya takriban Watu 3,000

Mwaka 2018 Gbagbo alihukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kesi ya wizi wa Fedha kutoka kwa Benki Kuu ya Abidjan, uhalifu aliodaiwa kuufanya wakati akiwa madarakani. Hata hivyo, Rais Alassane Ouattara alimfutia kifungo hicho

==============

Former Ivory Coast President Laurent Gbagbo agreed on Saturday to lead the party he founded into the 2025 presidential elections, spokesman Katinan Kone told Reuters following a meeting of the party's central committee.
Gbagbo, president of the West African country from 2000 to 2011, launched his African People's Party - Cote d'Ivoire (PPA-CI) in 2021 following his acquittal on war crimes charges by the International Criminal Court (ICC) and return from a decade abroad.

He was acquitted in 2019 by the Netherlands-based ICC on charges relating to his role in a civil war sparked by his refusal to concede defeat in an election.
Gbagbo lost control of the party he previously founded, the Ivorian Popular Front (IPF), to a former ally while imprisoned awaiting trial in the Netherlands for several years, but he retains a large and loyal base of supporters at home.
The election is expected to be held in October 2025. President Alassane Ouattara, who was re-elected in 2020, has not yet said whether he will run again.

Another possible contender is Tidjane Thiam, former chief executive of Swiss bank Credit Suisse, who in December became president of the PDCI, one of Ivory Coast's main opposition parties, though the party has not yet formally designated its chosen candidate.
 
View attachment 2930012

Dah hatari sana aiseee
 
Gbagbo hawezi kushinda na kwa uzoefu wa siasa za Afrika hapo utakuta ni wapambe waganga njaa ndio wanamshinikiza agombee ili wapate fursa ya kupiga pesa kwa sababu kwa Afrika kukaa madarakani miaka 10 lazima uwe vizuri mfukoni.

Ouattara lazima tu atamhujumu hata kama yeye Ouattara hatagombea muhula wa nne. Uchaguzi wao na wetu waga zinaenda pamoja.
 
Sijiu nicheke au nilie?! maana kinachotusababishia yote haya wala hatukijui na hatujui jinsi ya kujikwamua ktk usingizi huo wa kujitambua juu ya watawala wetu.
Nadhani tuna laana ya asili.

Wajuvi wa maandiko 'watazame tazameko' huko, huenda sisi ni kizazi cha mlaaniwa Kaini.
 
Back
Top Bottom