Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 270
- 378
Nini kifanyike kutatua changamoto ya huyu mdudu anaeitwa "Connection" kwenye ajira rasmi?
Upo sahihi mkuu. Kama mtu hakupata DISCO chuoni huyo anafaa. Sasa unampa interview ya nini tena. Anyway kwa jinsi waafrika ninavyowafahamu, wanaweza kuuchezea hata na huo mfumo wenyewe nepotism ikabaki kuwa palepaleuandaliwe mfumo maalum kitechnolojia utakao select applicants automatically kutokana na vigezo, bila mawazo ya mtu
Utapata tu ndugu yangu. Mungu yupo na wewe.Nini kifanyike kutatua changamoto ya huyu mdudu anaeitwa connection kwenye ajira rasmi??
uandaliwe mfumo maalum kwa wa ajira na ule binafsi wa kujiajir wanachuo akitoka chuon basi aingie moja kwa moja kwny system ya ajira yan km wanastaafu wafnyakazi 10 basi ikiwezkn waingie waajiriw wapya 10 wengn kwa kuvata vigezo sio uduguNini kifanyike kutatua changamoto ya huyu mdudu anaeitwa connection kwenye ajira rasmi??
Upo sahihi Mkuuuandaliwe mfumo maalum kwa wa ajira na ule binafsi wa kujiajir wanachuo akitoka chuon basi aingie moja kwa moja kwny system ya ajira yan km wanastaafu wafnyakazi 10 basi ikiwezkn waingie waajiriw wapya 10 wengn kwa kuvata vigezo sio udugu
Kwakweli waje jmnNgoja waje kukupa muongozo...
Yaan kupata kazi imekuwa zaidi ya kazi.Na wewe tafuta connection, ingia kwenye mapambano. Hakuna namna !
Sasa hizo connection zinazalisha majizi, incompetence na madudu mengine mengi. Na haya yanachangia nchi kuchelewa sana kufikia maendeleo ya kweliMpaka unafika chuo ,kuna vitu unabidi kuvielewa ikiwemo connection
Nchi Ina uhaba wa kila kitu hivyo lazima uwekeze katika Kushirikiana zaidi na sio kushindana.
Sasa hizo connection zinazalisha majizi, incompetence na madudu mengine mengi. Na haya yanachangia nchi kuchelewa sana kufikia maendeleo ya kweli
Uko sahihiSasa hizo connection zinazalisha majizi, incompetence na madudu mengine mengi. Na haya yanachangia nchi kuchelewa sana kufikia maendeleo ya kweli
Mpka unakosa connections ya kazi tambua ya kwamba haya ni makosa ya either ya wazazi wako hawakukuandalia maisha mapema au tatizo linaweza kuwa ni kwako .Nini kifanyike kutatua changamoto ya huyu mdudu anaeitwa "Connection" kwenye ajira rasmi?
Unachekesha kweli, wakat hao watumishi wenyewe wa TAKUKURU wamepata nafasi kwa rushwaKila kazi itangazwe kupitia UTUMISHI harafu utumishi iwe chini ya TAKUKIRU
Sio jibu la swali iloNa wewe tafuta connection, ingia kwenye mapambano. Hakuna namna !
Wew Nd unaefany Connection mwnyew sas Ndio maan unaongea Ivo.Ukute hapo kaz ulopat ni connection bac huna ujuz wala hujitumi maan umechomekw Tu alaf unaongea Ujinag Kam huo. Mtot WA masiki ten mkulima mchumia Tumbo Tu. Wazaz wake wanawezaje kumfanyia connection. Na unaposem tatz maybe lake mwnyew kivp Hali ya kuw ajira zinatolew kw kujuana na kupean Mtoto WA mkulim anajulikan ofic gan ili amfanyie mpango mwanawe. Unakut MTU ana vigez vyot lakin kuna majitu hayan uzoef na hayn uzoef Nd yanaekan Tu.Mpka unakosa connections ya kazi tambua ya kwamba haya ni makosa ya either ya wazazi wako hawakukuandalia maisha mapema au tatizo linaweza kuwa ni kwako .