Recent content by Mboerap

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Hata kama kuna ukweli lakini kauli yako ni ya kukatish tmaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania UDUVI tengeneza chakula cha KUKU wewe mwenyewe kuokoa GHARAMA

    Unapatikana wapi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mabinti hawa email zao zinafanana

    Hao wala sii wanawake , ni matapeli wa kiume ndo wanaokuandikia ww hizo e mail wakishaamdika wanachukua picha za visichana na kukutumia ili wakuteke vizuri. ni story ndefu. mimi walishanivaa lakini nilijawabaini baadae nilipokuta habari zao mtandaoni. " sii salama hao weka mbali na watoto.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muhindi ajiua baada ya kumuua Mwalimu wa Shule ya Msingi

    hilo nalo neno mwanangu Jamatini za kuchomea maiti zipo.iweje huyu bwana apelekwe India
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yachafuka: Yatuhumiwa kwa kuua na kula albino

    Inawezekana wanaliwa na Mafisadi ndo maana tatizo hili haliishi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere, sensa na udini

    Uncle hapo umenena
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shehe Mkuu wa Dar awaambia waislamu 'Waache kiherehere'

    Aombe ulinzi wa polisi huyo shehe kwani hawa waislam jina hawapendi ukweli
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

    so uaposema kina Ndalichako wanafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wa kiroho na kikwete anaewateua hao watendaji anafuata maelekezo ya wakristo? Ponda kashtakiwa tu mnarukaruka vipi angeuwawa kama padri
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Imamu wa msikiti auwawa kikatili!

    Kama ni kweli basi hii itakua ni janja ya wauwaji walewale wa padri kujaribu kushawishi dunia kwamba ni wakristo wamelipiza kisasi, jamani tuweni makini kwenye hili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    mimi napatashaka kidogo juu ya hili, ukiongea na waislam juu ya hili watakwambia kua hao watendao sii waislam bali ni watu wenye agenda zao. Ok. Kama ndio hivyo mbona sioni kelele, maandamano nk ya waislam wa kweli kulaani mambo haya kama ilivyotokea kwenye ishu za kuchinja au dhamana ya Ponda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Technology mpya bungeni

    hio idea sii kwamba hawaiju,hebu angalia wameweka viti vya kusinzia, mic ya kila mbunge,vifaa vya kurekodi mambo yoote( audio& video) na mambo lukuki ya kisasa ambayo hayapo ktk mabunge hata ya ulaya.je hili la ku-vote ndo walisahau? Subiri siku wapinzani watakua wengi zaidi ya ccm wataweka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Singida: Afande apiga picha za uchi na kupiga wake za watu

    Hivi kweli haka kabwana kwenye picha ni kigogo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu amekerwa na kauli ya Balozi wa Uswisi juu ya "Mabilioni ya Uswisi"

    Kamati ya kazi gani kwenye hili? Kama Zito kawatafunia kwa 90% wao wanataka nini tena. Tena cha ajabu wamekimbilia kukwea ndege kwenda uswis wakati hata hawajaenda kumwona zito kupata ushahidi alionao. Wadau si mmewasiki wakisema watakua na vikao vingi mpaka mwezi April, kaazi ipo
  14. M

    JamiiForums Tanzania google tatizo lako kabla hujalileta hapa

    Hata huko ku google nako ni swala tusilojua jinsi ya kufanya. Kwani wewe unaona raha gani wenzio wakibaki mbumbumbu.wewe ulizaliwa unajua vitu vyote? Au baada ya kujua ku google ndo wajifanya mjaaaanja.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

    Kwani huyo anaejitaja mimi ninani? Story fek hii. Huyo mtu anaeweza kua kwenye msafara wa Jk halafu aje avujishe siri hilo haliwezekani kwani Ikulu hawapatikani watu wa aina hiyo . Kumbuka Sadam Huseni aliuwawa mafichoni akiwa na " Watu wake wa Karibu" na watu wa namna hio ndio Rais hua...
Back
Top Bottom