Mtatizo haya ya udini nchini yanasababishwa na mambo haya tu!

Status
Not open for further replies.
Si ndio mnako waanzia watoto wenu kuwaharibu akili,,Nani kakwambia kuwa Mtoto wa kikristo ni mzembe wa kudanganywa tuuu eti unakuwa mjusi ukikojolea tokea lini wangapi wamekuwa mijusi hahahahhhaaaa lakini nampongeza sana kwa ujasili wake na kujitambua kuwa yeye sio mjinga ila alitaka kumuonyesha mwenzie kuwa aache kuwa lilaza..Ndo na mimi nakuambia ili usiwe kama mdoago wako,,,Maana na wewe umeshaharibiwa akili hahahaaaa...

Hahahahaa!! Na mimi nikikojolea ntakuwa panya? au mbuzi maana yeye alikuwa dogo mimi umri umeenda kidogo hahahaaaa !!!! dah!!Kuwa kafiri raha sana.

Adhabu atakayo ipata, anaijua Mwenyezi Mungu mwenyewe. Yeye hapangiwi. Nakushauri usije ukafanya hivyo, Remember Almighty God is not Mocked. Hata Firaauni, alikua na kiburi kama chako, na akaenda mbali zaidi akajiita Mungu.
Miujiza ya mungu ilipotokea, ndio ukawa mwisho wake.
 
uhuru uhuru! Nchi hii baada ya vita kuu ya pili ya dunia yale makoloni yote yaliyotawaliwa na mjerumani yalikuwa Huru! Acha kugonga kichwa sakafu hadi unapata kovu! Si unaona athari hizo?

Juu ya nini tukapigana vita na kutumia vikosi vya msituni Mozambique, Angola, South Africa etc. Nakwanini wapigania uhuru wa nchi hizo walilzimika kukimbilia Tanzania. Usiseme usicho kijua.
 
Sasa ndugu yangu basi jitahidi kutumia japo akili ndogo tu kufikiria hili. Una maana hawa peke yao ndo waliopigania uhuru? Kuna waislam wangapi walikufa wakati wa harakati za uhuru wala hawajatajwa popote na wewe pia hujataja yeyote zaidi unakuja na majina ya sijui TAKADIR, HAIDAR na wengine UNAOWAJUA, au kwako wewe hawa tu ndo waislam? Ndo maana mnafikia hatua MNABAGUANA wenyewe kwa wenyewe.

Kwa taarifa yako kuna orodha kubwa sana tu ya WAKRISTO na WAISLAM waliopigania uhuru zaidi ya hao wachache wenye tamaa ya madaraka na mali unaowataja.

ACHA KUUCHAFUA UISLAM WAKO.........................!

Naona tuhamie huku, Yanga na Azam Bao ngapi ngapi?
 
Mtumishi Wetu, hapa haujajibu mada yangu, umenibadilishia mada nyingine. OK. Sawa Rais Ni Muislamu, Waziri Mkuu ni Muislamu Na Mawaziri wengi tu ni waislamu kuliko wakristo. Tehe! tehe! Nadhani Umenisoma. Ok. Hilo sio tatizo. Tatizo watendaji wengi nikama kina Ndalichako wa NECTA, Na DPP. Sasa watu kama hao, ndio wanaligharimu Taifa. Lakini hawa wanafanya kazi kwa maelekezo ya Viongozi wao wa kiroho. Hebu jiulize, Sheikh Ponda kwanini Wamnyime Dhamana katika CIVIL CASE. Alishtaki, Muislamu, allieshtakiwa Muislamu, Mashahidi waislamu. Sasa juu yanini kumnyima dhamana Sheikh Ponda?. Lengo ni kutaka waislamu waandamane ili amani ya nchi ivunjike? HIVI NYINYI MTAVUNA NINI KWA KUHARIBU AMANI YA NCHI HII?

Kuhusu watoto wa Madrasa kujifunza karate. Huo ni mchezo tu kama football. Nyinyi kwa kua ni wadhulumu basi mnaogopa. Si unajua mwizi alivyo. Huo hajiamini. Hivi wewe kwa akili yako, huu ni ulimwengu wa kupigana kwa visu. Labda uwe chizi.

Tumia akili yako vizuri katika hili.

so uaposema kina Ndalichako wanafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wa kiroho na kikwete anaewateua hao watendaji anafuata maelekezo ya wakristo? Ponda kashtakiwa tu mnarukaruka vipi angeuwawa kama padri
 
Adhabu atakayo ipata, anaijua Mwenyezi Mungu mwenyewe. Yeye hapangiwi. Nakushauri usije ukafanya hivyo, Remember Almighty God is not Mocked. Hata Firaauni, alikua na kiburi kama chako, na akaenda mbali zaidi akajiita Mungu.
Miujiza ya mungu ilipotokea, ndio ukawa mwisho wake.

Kuwa specific,Mungu gani unaye msema wewe,anaye wafundiasha kuua,kuchoma makanisa na kuandamana,,au Mungu wangu ambaye ananifundisha kwa vita sio yetu ila ni yake,,na hukumu sio yetu ila ni yakwake...kama ni mungu wako hata waje mia ntakojolea hadi zichanike na hawanifanyi kitu. Eti mungu wako anayekufundisha kuua na vurugu,, Simuogopi hata tone na safu zake zote za majeshi ya majini hata siziogopi

MAANA NINA JINA LIPITALO MAJINA YOTE YESU KRISTO MWOKOZI,,KWA YEYE MUNGU WA WAUWAJI NA WACHOMA MAKANISA NA BIBLIA KATU HANITISHI.
 
Maibilisi wa ukweli hawaowi, bali huwanajisi watoto wadogo wa kiume, na kufingisha ndoa za jinsia moja makanisani.

mwanzilishi wa dini yako alikafanyia katoto ka miaka 9 tunamuitaje huyu....hahahaaaa najua utakepa kujibu kama kawaida yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom