Mwalimu Nyerere, sensa na udini

Mwalimu Nyerere, sensa na udini

Kwa mvutano ninaouona humu, kwa hakika hili la udini litatufikisha pabaya.
 
Kama vile umesahau pale alipomchukua Mchungaji Mushendwa na kumpa nafasi ya juu katika TANU kwa ajili tu ya imani yake kubwa katika Ukristo?!
hili ni moja tu kati ya mengi.

Na akampa Kawawa nafasi kubwa serikalini kwa ajili tu ya imani yake kubwa katika uislamu..!????
 
Anasema: "..hiyo ndiyo Tanzania tuliyokuwa tukiijenga (isiyo ya kidini) sasa watu wanazungumzia udini"

Ina maana ameshindwa kujenga Tanzania isiyo na udini! (the dude is a failure) sasa hao wanaotuambia kuwa tumeachiwa Tanzania na nyerere isiyo na udini wameyatoa wapi maneno haya!

Kiufupi nyerere hafai kuwa ni rejea katika namna ya kuufuta ubaguzi wa kidini.

Halafu anasema serikali haijali dini ya mtu na ni jambo ambalo haliihusu serikali?...huyu alikuwa akiishi dunia gani?

nyererephobia

mtuache na nyerere wetu nenda kashikamane na uamsho wenu
 
kama vile umesahau pale alipomchukua mchungaji mushendwa na kumpa nafasi ya juu katika tanu kwa ajili tu ya imani yake kubwa katika ukristo?!
Hili ni moja tu kati ya mengi.

tumia akili zako... Si kucopy mambo ya uchochezi na yasiyo na ushahidi wowote kwenye cd ya kongamano lenu la katiba....

Hamna ushahidi ndo maana ponda wenu yupo lumande..alisemaje kwenye makongamano yenu... Na sasa hivi yupo wapi... Mwizi wa mali za watu
 
Hili limeripotiwa na Mkristo P.Bergen lakini wacha kwanza tutumie akili zetu:

Je kulikuwa hakuna Mchungaji aneitwa Mushendwa aliyeteuliwa kuongoza moja ya department za TANU?

*BTW nyerere anaonekana katika hii hotuba (na karibu zote) kama vile ni mtu ambaye yuko "high"
 
Kosa lipo wapi. Mbona CUF wote ni wanyenyekevu na hatusemi kitu. Wacha maskhara weye.

Kwanza hakukuwa na huyo Mchungaji, weye unaleta longa longa hapa.

Taja hiyo department.
 
Kosa lipo wapi. Mbona CUF wote ni wanyenyekevu na hatusemi kitu. Wacha maskhara weye.

Kwanza hakukuwa na huyo Mchungaji, weye unaleta longa longa hapa.

Taja hiyo department.
Department of Political Education.
 
nyererephobia

mtuache na nyerere wetu
Mngeachiwa na nyerere wenu lakini tatizo ni kuwa anawagharimu Watanzania mpaka leo hii:
-Billioni ngapi za walipa kodi zinazoteketea kwa ajili ya nyerere Day?

-Millioni ngapi za raia zimeshapotea na zinaendelea kupotea kwa ajili ya kukimbiza mwenge?

-Milioni ngapi za walala hoi (wengi wanaishi kwa mlo mmoja tu kwa siku) zinatumika kumhudumia mjane aliyemuacha?

-Madeni yaliyorithiwa baada ya utawala wake wa kidikteta.
 
Back
Top Bottom