- Thread starter
- #21
Kwani hayo maujuzi ya itambayo ulikuwa unayapata kipindi hiko si hata google ungeweza yapata?
Aliyeandika na wewe ukiwa mmoj wa waliofaidika hakuwa na akili?
Ukiweza saidia ukishindwa nyamaza mkuu....
Labda nikupe ushauri!! Cku zote mtu akipost kitu kama hujaelewa kausha sio lazima ucomment, jua lazima uwe na source ya problem unayohitaji ndio uingie google, jua naweza andika kitu ukawa hukijui au hujawahi kukisikia den utapata faida flani den hapo ndo naingia google kupata kiundani zaidi kuhusu hiyo kitu !! Kama hujaelewa point yangu niulize tena